Kwa hili la Ndugai na Rais, linaonesha watanzania ndio tuna matatizo makubwa

Kma kunamtanzania anaamin ndugai alikua nahoja huyo nilipumbavu lamwisho.

Ndugai sio wakuzungumzia mikopo wala fedha alishaipoteza haki hio kitambo sana, tusisahau ilifikia wakati CAG alipojaribu kutoa madudu yanayohusu hela za nchi Ndugai alituonyesha wazi yuko upande gani.
Good timing kwamama alichokifanya, kumlipua baada yakua ameomba msamaha nakukubali kosa lake. Kamu underestimate rais namwenzie akafanya kisichotarajiwa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ndugai ana matatizo(hasa ya kiakili) than any average Tanzanian, fuatilia trends za kauli/matendo yake tangu enzi za Jiwe mpaka sasa utalibaini hilo.
Kama spika kauli za criticism kama alizozitoa angezitoa kwenye vikao vyao vya ndani au hata wangelifanya kuwa ajenda bungeni siyo kuitisha press na kuchamba mikakati ya rais, wote wana makosa kwa jinsi walivyokabili hili jambo(kuchambana) lakini Ndugai ana makosa makubwa zaidi kwa kuanzisha hii mipasho.
 
Mambo kama yapi au tozo?
 
Umesema ukweli kabisa. Mama amejibu kama hana kiapo cha kushika dola. sijui kwa maslahi ya nani
 
Umesema ukweli na ndipo utajua kuwa watanzania wengi hata uelewa wa kuwa bunge ni mhimili unaojitegemea hawana.
Yani siyo kosa bunge kuikosoa serikali, bila hivyo basi hakuna haja ya kuwa na bunge ambalo likiwa tofauti na serikali basi ni usaliti.
Mama anasema mkopo wa 1.3 t ni mzuri na una lenga kuleta maendeleo.
Hata walioingiza taifa hili kwenye mikataba ya ajabu nao walidai wanatuletea maendeleo.
The road to hell is paved by good intentions.
 
Mzee kaprenaumu yupo sahhihi ila acha yamkute kwasababu ni mnafiki, na kinachoturudisha nyuma watanzania ni unafiki
Je unafurahi Job kupigwa na kitu kizito ili hali Kizazi chako kinawekwa kwenye Hatari siku zijazo!
 
Awe alikuwa na hoja au la lakini kitendo chake cha kuomba radhi bila kosa kimefanya hata walioona ana hoja kumwacha peke yake. Unaombaje radhi kwa kitu ambacho hakina kosa?
That's where Mgogo nae kacheza Kombo ila walivyowanafiki watu wa Kijani ukute walimfata wakamwambia muombe Radhi Mama ni mpole halaf kesho yake wakaanza kuimba tena Kweliiii kweliii!!🀣🀣
 
Sisi tunafurahia mtifuano,kama Rais angepokea msamaha na kuacha yaishe nchi ingepoa sana!
Hapo ninachoomba ni kile kirusi kimvuruge Ndugai kwenye ubongo,amshushie SSH kitu kizito kichwa I!!!!
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,mtifuano uendeleee!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tuendelee kufukiza Kuni kavu kwenye pango!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…