THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
-
- #41
Kwahio mkuu tunaangalia Mvurugano au point ilipo?Ndugai ana matatizo(hasa ya kiakili) than any average Tanzanian, fuatilia trends za kauli/matendo yake tangu enzi za Jiwe mpaka sasa utalibaini hilo.
Kama spika kauli za criticism kama alizozitoa angezitoa kwenye vikao vyao vya ndani au hata wangelifanya kuwa ajenda bungeni siyo kuitisha press na kuchamba mikakati ya rais, wote wana makosa kwa jinsi walivyokabili hili jambo(kuchambana) lakini Ndugai ana makosa makubwa zaidi kwa kuanzisha hii mipasho.
Mama kakopa shingapi na Ndani ya mda gani mnasahau hili?Huyo so called rate(late) chuma ndio amekopa kuliko hata awamu za Jk na Mkapa kwa pamoja ila Spika hakudhubutu kufungua mdomo.
Na kwa kufanyia nini?Mama kakopa shingapi na Ndani ya mda gani mnasahau hili?
Umesema ukweli na ndipo utajua kuwa watanzania wengi hata uelewa wa kuwa bunge ni mhimili unaojitegemea hawana.
Yani siyo kosa bunge kuikosoa serikali, bila hivyo basi hakuna haja ya kuwa na bunge ambalo likiwa tofauti na serikali basi ni usaliti.
Mama anasema mkopo wa 1.3 t ni mzuri na una lenga kuleta maendeleo.
Hata walioingiza taifa hili kwenye mikataba ya ajabu nao walidai wanatuletea maendeleo.
The road to hell is paved by good intentions.
Msamaha wa Ndugai si wa hiari, ni shinikizo toka CCM. Tukikubali kusikiliza maoni tofauti, hata kama yanakinzana na yetu, nchi itaneemeka.Habarini!
Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei.
Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana mjibu kwa kuangalia Maslahi yake tena kwa kejeli watu Wooooteee wanashangilia Kweli Mpo serious?
Yeah ni kweli kuna sehemu nyingi Ndugai kateleza sana huko Nyuma ila Kuna msemo unasema "Mnyonge Mnyongeni Ila Haki yake Mpeni" Ndugai ana haki ya kujibiwa Sio kwa Njia ya personal attack ila kwa njia ileile aliyotumia kuelezea Issue yake.
Hili suala la Ndugai tuweke Makosa yake pembeni tumhoji Rais sio tufurahi kifo cha Ndugai.
NOTE:
Swala la Msamaha alioomba Ndugai to Me usiulete hapa ule alileta Njaaa zake tu na hizo ndio errors zake Kila siku tujadili Issue.
Can't disagree...na nadhani maza anatakiwa kummaliza kabisa hivi kashaelekea kibla...politics is about timing as well.Kma kunamtanzania anaamin ndugai alikua nahoja huyo nilipumbavu lamwisho.
Ndugai sio wakuzungumzia mikopo wala fedha alishaipoteza haki hio kitambo sana, tusisahau ilifikia wakati CAG alipojaribu kutoa madudu yanayohusu hela za nchi Ndugai alituonyesha wazi yuko upande gani.
Good timing kwamama alichokifanya, kumlipua baada yakua ameomba msamaha nakukubali kosa lake. Kamu underestimate rais namwenzie akafanya kisichotarajiwa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kila tukio lina sababu. Nchi haina mwongozo rasmi- katiba-na iliopo imekuwa ikiwekwa viraka kwa maslahi ya watawala. Leo kuna mlolongo wa wenye kinga za kutoguswa na sheria, matokeo ni mnyukano wa viongozi kwa maumivu ya wananchi.Bora Samia ametoa joto lake,amehisi dharau zinazidi kila kukicha,heshima yake inavunjwa na walio karibu nae,aliowaamini ,
Hivi kama hili .Ndugai arapu kwa Magu unazani Ndugai angekuwa bado hajafika kusiko julikana kwa watu wasiojulika,yaani wangekwishampa na uraia kabisa.
samia yupo sawa ,hakuweka donge rohoni amemueleza Ndugai mchana kweupe ili kazi iendelee au mlitaka ,style za Raisi Yule.
Ndugai amejibu kwa maslahi yake mwenyewe na siyo ya nchi.Habarini!
Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei.
Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana mjibu kwa kuangalia Maslahi yake tena kwa kejeli watu Wooooteee wanashangilia Kweli Mpo serious?
Yeah ni kweli kuna sehemu nyingi Ndugai kateleza sana huko Nyuma ila Kuna msemo unasema "Mnyonge Mnyongeni Ila Haki yake Mpeni" Ndugai ana haki ya kujibiwa Sio kwa Njia ya personal attack ila kwa njia ileile aliyotumia kuelezea Issue yake.
Hili suala la Ndugai tuweke Makosa yake pembeni tumhoji Rais sio tufurahi kifo cha Ndugai.
NOTE:
Swala la Msamaha alioomba Ndugai to Me usiulete hapa, ule alileta Njaaa zake tu na hizo ndio errors zake Kila siku tujadili Issue.
Mtu akisema jambo zuri kwa Taifa tuweke mapungufu yake pembeni ndio kwa NdugaiNdugai amejibu kwa maslahi yake mwenyewe na siyo ya nchi.
Kama alikuwa na huruma na nchi hii angetumia mabilioni ya fedha kwenda kwenye matibabu yake mtu mmoja wakati hospitali nyingi hapa zina upungufu wa vifaa na dawa za kutibu wagonjwa wa hali ya chini?
Na ilipowekwa kama audit query akazua ya kuzua kwa CAG mpaka akaondolewa. Leo hii ndiyo amekuwa mtetea nchi ati!
Ndugai haondoki ng'o ingawa aliteleza kidogo kwenda public kusema nchi itapigwa mnada wakati yeye ana uwezo wa kumuona Mhe.Rais 24/7 tofauti na sisi wengine tunaosemea hapa.
Chizi hawezi kuwa na pointKwahio mkuu tunaangalia Mvurugano au point ilipo?
Alikuwa anavunjiwa, lakini sasa naona kajivunjiaBora Samia ametoa joto lake,amehisi dharau zinazidi kila kukicha,heshima yake inavunjwa na walio karibu nae,aliowaamini ,
Hivi kama hili .Ndugai arapu kwa Magu unazani Ndugai angekuwa bado hajafika kusiko julikana kwa watu wasiojulika,yaani wangekwishampa na uraia kabisa.
samia yupo sawa ,hakuweka donge rohoni amemueleza Ndugai mchana kweupe ili kazi iendelee au mlitaka ,style za Raisi Yule.
Kosa la Ndugai ni lipi?Bora Samia ametoa joto lake,amehisi dharau zinazidi kila kukicha,heshima yake inavunjwa na walio karibu nae,aliowaamini ,
Hivi kama hili .Ndugai arapu kwa Magu unazani Ndugai angekuwa bado hajafika kusiko julikana kwa watu wasiojulika,yaani wangekwishampa na uraia kabisa.
samia yupo sawa ,hakuweka donge rohoni amemueleza Ndugai mchana kweupe ili kazi iendelee au mlitaka ,style za Raisi Yule.
El poder ejecutivo está separado del legislativo y el judicial en una democracia |
Kwahio swala la kukopa Nchi yetu kwa kasi sana na kuweka Tozo unalichukuliaje Mkuu?Ndugai Ni mpuuzi Kama wapuuzi Wengine tu,na mnafiki