Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Uwe na usiku mwema dada yangu kipenzi, hahaHamkuona makosa ya marefa kwny mechi zenu mnakuja kushupalia mechi zetu...kaeni kwa kutulia nyie utopolo...kwanza goli la kagera sugar mrudishe...pili kumchezesha mchezaji ambaye hastahili mvuliwe point...yani mna ma ujinga ujinga mengi sema Simba huwa hatuna midomo kama nyie...
Ubuntu bothoHamkuona makosa ya marefa kwny mechi zenu mnakuja kushupalia mechi zetu...kaeni kwa kutulia nyie utopolo...kwanza goli la kagera sugar mrudishe...pili kumchezesha mchezaji ambaye hastahili mvuliwe point...yani mna ma ujinga ujinga mengi sema Simba huwa hatuna midomo kama nyie...
Na yule wa south alivaa nini?Refa mwenyewe kavaa ushungi, unategemea atatenda haki kweli?
God Bless Israel
Man u na Barcelona ndiyo wamefanya goal line na VAR zije,walikua wakibebwaHaya mambo hata ulaya yapo ndio maana wakaanzia VAR na Goal line technology. Ok sawa mnataka haya mambo yaishe mnaweza kugharamia VAR na Goal line technology?.
Tatizo la kuweka wanawake kua WAAMUZI ndio chanzoWaamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo.
Jambo hili lilionekana pia kule South Africa baada ya Vyura kukataliwa bao lao la wazi kabisa.
Mechi ya Leo ni wazi kuwa Tabora United wamenyimwa bao na Simba wamepata goli batiri la Counter attack iliyoanza kwa makosa. Ilitakiwa mpira uanza kati kwa kuwa Tabora walishafunga goli halali..
Hizi ndizo dalili za uchawi wa utopoloUko sahihi, hii Simba feki inashusha kiwango cha Mpira wetu, mi niliangalia marudio ya mechi kati ya Simba na Coastal union nikasikitika sana, Fred alimsukuma hadi kuanguka vibaya mchezaji wa Mangushi aliekuwa akimkaba kisha akiwa huru mpira ukaja akafunga kwa mshangao mkubwa eti refa akawapa Simba goli nikasema what is this nonsense?
Mara kiungo fundi Ibrahim Ajibu akawachomoka mabeki wa Simba akaingia kwenye penati box ya Simba mabeki wawili wa Simba wakamchangia kwa pamoja na kumuangusha ndani ya box bila kuugusa mpira na refa akapeta badala ya kuipa Coastal union penati, ilinichukiza sana, sikupenda jinsi yule refa mweusi aliwanyonga Coastal union kisa wanacheza na Simba!! Hii mechi haikuwa halali Simba kupata yale matokeo
Mechi ingine ni lile goli halali la Singida big star refa na kibendera wake kulikataa bila aibu! Singida big stars walikuwa bora sana ila refa alihakikisha hawashindi mechi, Ile mechi ilitakiwa iishe Simba ikipokea kichapo but ikawa tofauti. Ukweli niliwachukia sana marefa wa ile mechi kuwanyima ushindi wale waliostahili
Yani Simba ikicheza ni maamuzi mabovu tu yanaonekana sijui kuna nini kwenye hii timu na marefa wa kibongo kuipendelea bila aibu maana mpira tunauona live. Huwa najiuliza hivi hawa TFF hawaangalii hizi mechi?
Tutalifanyia kazi tu aa taarifa ndan aya massa 44Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo.
Jambo hili lilionekana pia kule South Africa baada ya Vyura kukataliwa bao lao la wazi kabisa.
Mechi ya Leo ni wazi kuwa Tabora United wamenyimwa bao na Simba wamepata goli batiri la Counter attack iliyoanza kwa makosa. Ilitakiwa mpira uanza kati kwa kuwa Tabora walishafunga goli halali..
Mara kipa akimbie mechiSimba huwa hainunui mechi ndio maana haina ushindi wa mwendelezo kama timu fulani ambayo wanaanzia kuhonga wachambuzi hata wakibebwa huwezi kusikia kelele.
Simba anakabiliana kwa haki kabisa na mechi za ukweli.
Achana na hawa jamaa mara beki kapewa pesa acheze chini ya kiwango,mara kiungo anahongwa ajifanye kaumia bado waamuzi na wachambuzi.Timu inaonekana inaupiga mwingi kumbe uhuni tu umetangulia.