Kwa hili lililotokea leo kwenye mechi kati ya Simba na Tabora basi Tanzania na Africa hatuwezi kusonga mbele kwenye mpira

Kwa hili lililotokea leo kwenye mechi kati ya Simba na Tabora basi Tanzania na Africa hatuwezi kusonga mbele kwenye mpira

Hizi ndizo dalili za uchawi wa utopolo
Mimi huongea fact always, kaangalie tena hizo mechi mbili Simba vs Coastal union na Simba vs Singida big stars bila mbambamba utaona live jinsi marefa waliharibu mechi kwa kuibeba Simba waziwazi huku TFF ya kina Mr Karai makolo wale wakibariki upuuzi ule, ndo maana mechi zote za Simba zikichezeshwa kihalali Simba hupasuka ndani nje!! Sijui kwanini marefa wa hizo mechi hawakuadhibiwa.

Mechi ijayo Simba na Azam, jino kwa jino, timu kali wanayoshabikia wanangu kutoka chamazi tunataka haki bin haki marefa wasilete ujinga na wasiwe marefa wanawake maana mpira tunaona live na kina Mzamiru mafundi wa kupoteza muda Simba ikibahatisha kupata kagoli wadhibitiwe. Napenda achezeshe Kayoko, hana mbambamba, Simba lazima ipasuke wanangu warukeruke watu weweeee, uto og niko paleeee!
 
Tatizo la kuweka wanawake kua WAAMUZI ndio chanzo
Nakubali kabisa mkuu,, hawa akina mama hawafai kabisa kuwa marefa,, hivi hawana mabwana zao wakatulie nao chumbani kutafuta watoto.. huu muda wa kuchezesha mechi wanautoa wapi..???
 
Refa mwenyewe kavaa ushungi, unategemea atatenda haki kweli?

God Bless Israel
Ukiacha makosa machache yanayofanywa na Marefa Wanaume, Marefa Wanawake wame prove kuwa ineffiency katika kusimamia mchezo wa mpira wa miguu.
 
,,, na Simba wamepata goli batiri la Counter attack iliyoanza kwa makosa. Ilitakiwa mpira uanza kati kwa kuwa Tabora walishafunga goli halali..
na mpira ungeanza kati huenda Simba ingepata mabao mawili zaidi
 
Simba huwa hainunui mechi ndio maana haina ushindi wa mwendelezo kama timu fulani ambayo wanaanzia kuhonga wachambuzi hata wakibebwa huwezi kusikia kelele.

Simba anakabiliana kwa haki kabisa na mechi za ukweli.

Achana na hawa jamaa mara beki kapewa pesa acheze chini ya kiwango,mara kiungo anahongwa ajifanye kaumia bado waamuzi na wachambuzi.Timu inaonekana inaupiga mwingi kumbe uhuni tu umetangulia.
Waulizen mamelodi
 
Hamkuona makosa ya marefa kwny mechi zenu mnakuja kushupalia mechi zetu...kaeni kwa kutulia nyie utopolo...kwanza goli la kagera sugar mrudishe...pili kumchezesha mchezaji ambaye hastahili mvuliwe point...yani mna ma ujinga ujinga mengi sema Simba huwa hatuna midomo kama nyie...
Simba mnamidomo mirefu imechongoka kama sindano ya kushonea viatu makatapera nyie
 
Timu mbovu ikiwakilisha nchi ndiyo matokeo ya kufungwa home and away .
 
Back
Top Bottom