Kwa hivi 'Vyuma' vitano nilivyoviona jana hoteli moja kuna Klabu itachukua Ubingwa NBC bado Mechi 15

da!!!, Na Iwe kweli mzee....

Hawa utopolo wametutesa sana msimu uliopita..
 
Kwahiyo safari hii ninunue jezi? Maana msimu uliopita sikutaka hata kuziona.
 
Nasikia huyo goalkeeper anadaka mpaka mimba na huyu striker tuliyemleta anafunga mpaka kizazi.
 
We jamaa nouma
 
Hizo bangi mnazovuta ukubwani zitawatesa sana.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 

Kukurukarakulpgu
Haya nimekurupuka, nipe za uso
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muda wa kurushanaa rohoo huu sasa.
 
Kufika mwezi wa kumi hawa inaowasifia utaanza kuwasema wabovu naona saizi madktari wako wanakupa muda sahihi dawa zako....
 
Mliwapamba akina Okrah na Okwa kumbe uchafu mtupu
Na hawa nao ni wale wale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…