Kwa hiyo mlisema wadada wenye style hii ya nywele huwa wana tabia gani?

Chit-chat tu nadhani, kama mleta mada yupo serious atakuwa anazingua.
Yupo serious na ni ukweli mtupu. Fuatilia watoto wenye vipilipili huwa watundu sana. Ukubwani wananyoa vipara na kugeuka watata/wakorofi sana.

Angalia wanaume wenye rasta, hawa jamaa wanajiamini sana. Ni nadra kukuta rasta muoga muoga. Kitendo tu cha kufuga rasta ni ishara ya mtu kujiamini dhidi ya mitazamo ya kijamii.

Angalia watu wote makini hata nywele zao kichwani vipo kwenye mpangilio maridadi. Ni nadra kukuta mtu makini ajachana nywele au zipo rafu rafu.

Muonekano wa mazingira ya nywele za mtu unaongea jambo kumhusu yeye.
 
Napitia comments hapa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…