Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Hivi min me yuko wapiBado anko
Afu sijamuona mda sana ila inshallah uko alipo atakuwa freshHivi min me yuko wapi
Au alilambwa risasi?
Yes awepo mzima tu ila kama alilambwaAfu sijamuona mda sana ila inshallah uko alipo atakuwa fresh
Aisee na sijui siku ile alikuwa pande zipi maaana Mimi ilinikutia sinza zimelia Sana risasi mabomu ya machozi hadi macho yalikuwa yananiwashaYes awepo mzima tu ila kama alilambwa
basi nadhani atakuwa kakutana na Mungu , 😂 akamuulize maswali vizuri.
Ni ishu kubwa sawa, lakini hauwezi kuongelea jambo hilo hilo moja bila kupata muafaka wake.Ety ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
min -me what's up!Hivi min me yuko wapi
Au alilambwa risasi?
Hajasahaulika, moja ya malengo ya maandamano ni kugusa pia ilo eneo la watu kutekwa. Hatuwezi kumpambania kila mmoja individually, lazima tuwe na ajenda jumuishiEty ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Huyo na deep pond sijawaona popote tangu kurudishwa kwa internetHivi min me yuko wapi
Au alilambwa risasi?
Wanamtandao watakubali kusikiliza?Hajasahaulika, moja ya malengo ya maandamano ni kugusa pia ilo eneo la watu kutekwa. Hatuwezi kumpambania kila mmoja individually, lazima tuwe na ajenda jumuishi
Let play our part. Tutakapoishia watakuja kuendeleza watakaotufuataWanamtandao watakubali kusikiliza?
Bimkubwa wenu yuko controlled atafnya nin?
Maandamano yanamulika kila aina ya injustice ambayo Watanzania wamepitia au wanaendelea kupitia. Kwahiyo, hakuna mhanga aliyesahaulika. Hata wale wahanga waliothibitika kuuawa (e.g., Mzee Ali Kibao) wanakumbukwa vividly. Damu zao hazikumwagika bure!Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Nani kasema?Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?