Kodo dyako
JF-Expert Member
- Nov 18, 2025
- 318
- 409
Janja hii ndio rangi yako halisi..umevua nikab..sasa uko uchiTarehe 9/12 zamu yako pia kuwa Historia.
Janja hii ndio rangi yako halisi..umevua nikab..sasa uko uchiTarehe 9/12 zamu yako pia kuwa Historia.
inasemekana yupo ..tena mzima kabisa..Hapana Mkuu au hajamfatilia kaka yake Kanali Komandoo Augustino Polepole? Update ya Mwisho ni kwamba Polepole anaumwa na Jarcarhire ndiyo ametoa order aendelee kushikiliwa ,kwahiyo Polepole ni Mzima kwa mujibu wa taarifa ya kaka yake ,cha msingi uhuru ukipatikana familia ya Key-QWE-ت
Yeah kaka yake Komandoo anapata taarifa zote kumuhusu mdogo wake HP.inasemekana yupo ..tena mzima kabisa..
Sasa kama nanyi Wapuuzi wenzake mnalijua hilo kwanini Kutwa hapa JamiiForums mnatusumbua Kumuulizia?Polepole alilijua hilo hivyo hakuhitaji maonyo yenu.Aliwahi tamka kabisa kuwa yeye hana malengo kwenye maisha.Hata akiuliwa mapema kabla ya muda wake ni sawa tu.
Nashukuru kwa Kulijua hilo.Janja hii ndio rangi yako halisi..umevua nikab..sasa uko uchi
Kabla sijawa historia utaanza kwanza mnywa visungura wa hapo kawe ukwamaniTarehe 9/12 zamu yako pia kuwa Historia.
Nani amekuuliza? Polepole alishauawa mbona.Sasa kama nanyi Wapuuzi wenzake mnalijua hilo kwanini Kutwa hapa JamiiForums mnatusumbua Kumuulizia?
Ulitaka abakie ili iweje wakati mnajua fika kuwa alishakanyaga Waya na kwa Kiapo chake hakukuwa na Msalia Mtume?Nani amekuuliza? Polepole alishauawa mbona.
labda ni ndugu yako lakini si ndugu yetu. Kwa kuwa tu aliomba msamaha kwa aliyofanya na kuyasmea haimaanishi kuwa sooote tumemsamehe na amekuwa sasa ni ndugu yetu. Simtakii mabaya huko aliko na i hope kuna siku atarudishwa ila sipotezi usingizi wangu kufikiri alipo na kilichomfika. Kuna wengi walipotea wakati akiwa katika organisation hii hii ambayo imemteka. alikuwa anajua kinachoendelea na hakuzuia wala kusema lelote kwa sababu wakati ule alikuwa ana fupa la kunong'ona. If you live by sword, you will die by sword!Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Hizi habari mmezithibitisha?...au mnahisi tu?Nani amekuuliza? Polepole alishauawa mbona.
Wote hao wamempotezea comrade mwenzao.Kama ndugu yake bashiru warokua wote ccm viongozi enzi izo saiv anafurahia ubunge wa kuteuliwa amekaa kmy haongelei chochote juu ya mfanyakaz mwenzake.
Sasa unataka mm ndo nimuwaze polepole
Ccm mwenzake wapo alofanya nao kaz kwa ukaribu kipindi cha mwenda zake hao ndo wanatakiwa kumuwaza
Whatever happens to Humphrey Polepole the blame rests squarely to the commander of the Tanzania Armed forces. After the police forces captured Humphrey Polepole it was up to the armed forces specifically JWTZ to make sure that he was safe because there is no way he would have been safe under the jurisdiction of the indisciplined Tanzania police forces. Polepole is a national treasure who cannot be allowed to disappear simply because he was bold enough to put into the open the sins of the Samia government.Hajasahaulika, moja ya malengo ya maandamano ni kugusa pia ilo eneo la watu kutekwa. Hatuwezi kumpambania kila mmoja individually, lazima tuwe na ajenda jumuishi
Achana na huyu Mnyarwanda ambae amekulia mara hana maana huyoSasa ww unaakili Gani maamuma senior?!
Poleni sana..Huyu ni mwnamapinduzi hawezi kusahaulika yupo anaendelea na matibabu maana akifa huyu basi Gen-Z itakua ni hatari msione kama Ge-z wapo wapo wanajua wanachokifanya
CCM wako busy wanashangilia "ushindi" wamemsahau mtu wao.Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Hahahaha!!!Una uelewa mdogo sana, yaani pamoja na comments zote walizotoa wadau bado huelewi tu?
Bila shaka yoyote wewe ni mccm.