Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Brother angu 🤔 yupo kimya sanaHivi min me yuko wapi
Au alilambwa risasi?
Brother angu 🤔 yupo kimya sanaHivi min me yuko wapi
Au alilambwa risasi?
Polepole alitaka kukomboa taifa?Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Sijui alipatwa na nini Ndugu yetu mwana CCM Mwenye maono kuliko WANU HAFFIDH...Polepole alitaka kukomboa taifa?
Sijui alipatwa na nini Ndugu yetu mwana CCM Mwenye maono kuliko WANU HAFFIDH...Polepole alitaka kukomboa taifa?
Kwa sauti ya Chief Odemba akirudia swali lile lile kwa mara ya pili kama haamini alichosikia vile.Sijui alipatwa na nini Ndugu yetu mwana CCM Mwenye maono kuliko WANU HAFFIDH...
NIPO NASIKILIZA WIMBO WA KWETU PAZURI NIMEPAKUMBUKA
Dooh isiwe hivyoSijui alipatwa na nini Ndugu yetu mwana CCM Mwenye maono kuliko WANU HAFFIDH...
NIPO NASIKILIZA WIMBO WA KWETU PAZURI NIMEPAKUMBUKA
Wenye Akili kubwa hapa tulipokuwa tunamuonya na kumwambia hizi Sifa za Watu humu Mitandaoni zisimpe Kichwa kwani yakimpata ya kumpata hakuna wa Kumsaidia na atasahaulika mapema si mlituona Wapumbavu na Mkatupuuza...!! Imeshaisha hiyo......!!!Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Una uelewa mdogo sana, yaani pamoja na comments zote walizotoa wadau bado huelewi tu?Polepole amesahaurika kwa haraka sana. Pole zake aisee.
Mnasemaje kasahaulika wakati watu wameandamana na wanapanga kuandamana tena.Polepole amesahaurika kwa haraka sana. Pole zake aisee.
Inasikitisha sanaEti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Sasa ww unaakili Gani maamuma senior?!Wenye Akili kubwa hapa tulipokuwa tunamuonya na kumwambia hizi Sifa za Watu humu Mitandaoni zisimpe Kichwa kwani yakimpata ya kumpata hakuna wa Kumsaidia na atasahaulika mapema si mlituona Wapumbavu na Mkatupuuza...!! Imeshaisha hiyo......!!!
Tarehe 9/12 zamu yako pia kuwa Historia.Sasa ww unaakili Gani maamuma senior?!
Hapana Mkuu au hajamfatilia kaka yake Kanali Komandoo Augustino Polepole? Update ya Mwisho ni kwamba Polepole anaumwa na Jarcarhire ndiyo ametoa order aendelee kushikiliwa ,kwahiyo Polepole ni Mzima kwa mujibu wa taarifa ya kaka yake ,cha msingi uhuru ukipatikana familia ya Key-QWE-ŘŞEti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Polepole alilijua hilo hivyo hakuhitaji maonyo yenu.Aliwahi tamka kabisa kuwa yeye hana malengo kwenye maisha.Hata akiuliwa mapema kabla ya muda wake ni sawa tu.Wenye Akili kubwa hapa tulipokuwa tunamuonya na kumwambia hizi Sifa za Watu humu Mitandaoni zisimpe Kichwa kwani yakimpata ya kumpata hakuna wa Kumsaidia na atasahaulika mapema si mlituona Wapumbavu na Mkatupuuza...!! Imeshaisha hiyo......!!!
Huyu jamaa kilichomuua ni trauma na stress baada ya kifo cha Jiwe. Sasa mtu unaacha kazi kupinga mgombea Urais badala ya mfumo ? Lazima watu wakusahau. Hotuba yake ya kwanza ingekuwa kuhusu kusogeza uchaguzi mbele na kutengeneza katiba mpya angalau angekumbukwa. Kaka yake nae anakuja na mikwara akidhani mdogo wake bado yu hai.Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?