PostGE2025 Kwa hiyo ndio tumeshamsahau ndugu yetu Humphrey Polepole?

PostGE2025 Kwa hiyo ndio tumeshamsahau ndugu yetu Humphrey Polepole?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mnasemaje kasahaulika wakati watu wameandamana na wanapanga kuandamana tena.
Ile MO29 kuna makundi ya vijana walikuwa wanaimba tunamtaka Polepole.
Huyu shujaa ameshinda Vita hata kama hatorudi akiwa hai. Unafikiri akina Mange bila hotuba za Polepole wangeweza kuwafanya watanzania wajitoe muhanga vile 29/10?
Mara ngapi walijaribu hawakufanikiwa?
Pun intended.
 
Hatari sana.inatakiwa tukinukishe kwelikweli siku ya muungano ili tuwaokoe walikofichwa
 
Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Ridhiwani na Abdul ndiyo walikuwa wamemuhifadhi, hatma yake iko/ilikuwa mikononi mwao.
Kama yuko hai au la wao ndiyo walikuwa waamuzi wa hilo, miungu watu ndani ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom