PostGE2025 Kwa hiyo ndio tumeshamsahau ndugu yetu Humphrey Polepole?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
Maandamano yanamulika kila aina ya injustice ambayo Watanzania wamepitia au wanaendelea kupitia. Kwahiyo, hakuna mhanga aliyesahaulika. Hata wale wahanga waliothibitika kuuawa (e.g., Mzee Ali Kibao) wanakumbukwa vividly. Damu zao hazikumwagika bure!
 
Kwa kweli kuna muda huwa najiuliza, hii Tanganyika tulipo fikia ni kubaya sana. Hebu fikiria mtu anaweza kuchukuliwa kama kuku tu watu wakapiga kelele siku mbili tatu kisha imeisha. Yaani mtu anapotezwa tu na hakuna chochote kinafanyika, refer kwa Mdude, Polepole nakadhalika. Aisee hii ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…