Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Wazo zuri sanaWakati unasubiri maumivu yaishe naomba tuungane kusubiri uo muda ufike wa machungu kupotea mana wanasema muda ni tiba pekee ya maumivu
Mh[emoji3064]
Ukute akulie hela baadaye wengine wanywe maziwa wewe unakata majanai hata pembe haishiki wakati anakamuliwaSiku nilimpenda dem hanielewi ndio nilielewa kwanini watu wanalia wengine wanaua.
Njoo DM Halafu jifanye umekosea, Mimi nitajua la kukuambia babe.ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Binti tumia mbinu za kimya kimya
Asipojiongeza achana nae
Raha ya penzi mwanaume aanzishe
Utakua na uhakika gani he really wanted you too?.
Acha ujinga naye ana anayempenda zaidiila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Pole kwa changamoto mkuu..ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Hebu sogea kwa huku kwanza, sikuwa najua yaani ntakupenda mpaka basiila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahAmekuacha eee umeachwa kubali kubali [emoji849][emoji849]utapata wako mtakae pendana
Kabisaa hamtaki.Tunajua sana, sema atakuwa hakutaki
Umemalizaaa.Mi huwa siwaz kuhusu kufikiriwaje sijui,mi ninachofikiria ni nimependa na anapaswa afahamu hilo...Ivo namchana ukweli kuwa nampenda.Mambo ya kuwaza sijui atanifikiriaje na kusubiri utongozwe ndo tunakuja kubali na wajinga maana unaona kama bahati.Nifikirie vyovyote utajua mwenyewe[emoji39][emoji39]