Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asojua na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili...
Watu wa Kaskazini baadhi wanajikuta wanaijua sana pesa, mimi nasemaje mahakama iwaache wachinjane kama kuku hadi siku watakapotambua maisha ni zaidi ya pesaMnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asojua na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili...
Wauaji wa Kaka wote wako nje
Wauaji wa Dada wote wako nje
Mahakamani kuna kazi kweli kweli
Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake...
Historia ya chimbuko la ukoo wenu unaijua au umeamua kuweka energy yako yote kwenye mambo ya familìa za watu ?Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.
Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiwrka Kwa dada yake Aneth Msuya...
Huyu mama sio mmachame ni mpare na mmeruuUkiskia MMACHAME kimbiaaaaa.
Wanawake wa Aina hii ndio wanafanya vijana wanakataa Ndoa!
Ndoa ni Kifo.
Ndoa ni Jela.
Ndoa ni gereza.
Ndoa ni Utapeli.
Lkn zingatia ili uwe mwanaume timilifu lazima Uoe, kikubwa ishi nao kwa akili.
aione Uffwoo Swarro na wafuasi wake.
Wanakuaga na mwisho mbaya sana hao wengi hupatwa na stroke tu ya ghafla wengine wanashikwa tu na uchizi wengine wanashindwa kusikia masikio yanaziba roho za watu/wafu mnabadirisha na Pesa alafu iweje?usikute wakina
Mmeru na mpareMke wa Billionaire Msuya alikua Mmachame au Mmashama?
shehe tunamsulubu vp huyu mmachame? najua wapare mukipanda mlimani huyu mtu hachomoki.Sheria duniani haki mbinguni
Wameru Si ndio wamachameHuyu mama sio mmachame ni mpare na mmeruu
Yaan maana yake MmachameMmeru na mpare
nani kasema? sisi wameru hatufungamani na umachame. wameru ni wameru. huyo sio mmeru.Wameru Si ndio wamachame
Ni mpare?nani kasema? sisi wameru hatufungamani na umachame. wameru ni wameru. huyo sio mmeru.
sio mpare. ni chame geloNi mpare?
Ili mambo haya yasikukute usikaribie mwanamke wa Kimachame
Mama aliniambie usimchumbie MmachameMamndenyi unalia nini?
Mmachamesio mpare. ni chame gelo