Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asojua na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili...

Yaani jamii imebaki na mshangao mkubwa na maswali mengi.

Kwamba kwa hiyo Annet alichinjwa na kina nani? 🤷‍♂️

Jamhuri ituambie.
 
Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asojua na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili...
Watu wa Kaskazini baadhi wanajikuta wanaijua sana pesa, mimi nasemaje mahakama iwaache wachinjane kama kuku hadi siku watakapotambua maisha ni zaidi ya pesa
 
Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.

Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiwrka Kwa dada yake Aneth Msuya...
Historia ya chimbuko la ukoo wenu unaijua au umeamua kuweka energy yako yote kwenye mambo ya familìa za watu ?
 
Ukiskia MMACHAME kimbiaaaaa.
Wanawake wa Aina hii ndio wanafanya vijana wanakataa Ndoa!
Ndoa ni Kifo.
Ndoa ni Jela.
Ndoa ni gereza.
Ndoa ni Utapeli.
Lkn zingatia ili uwe mwanaume timilifu lazima Uoe, kikubwa ishi nao kwa akili.
aione Uffwoo Swarro na wafuasi wake.
Huyu mama sio mmachame ni mpare na mmeruu
 
dah bora umbutue mtu risasi ya kichwa. kumchinja mtu na kumchoma moto ni kifo cha uchungu usioelezeka 😔
 
Back
Top Bottom