Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asojua na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili...
Yaani jamii imebaki na mshangao mkubwa na maswali mengi.
Kwamba kwa hiyo Annet alichinjwa na kina nani? 🤷♂️
Jamhuri ituambie.