Kwa hiyo tunasemaje, majemedari wa Iran wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti wa Israel

Kwa hiyo tunasemaje, majemedari wa Iran wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti wa Israel

Kilichotarajiwa kufanywa na Iran hakikutokea, makombora zaidi ya 300 yalirushwa lakini hakukuwa na madhara yoyote.

Vita imekwisha.
 
very cheap drones ndo maana ilikuwa rahisi kuzizuia,wangerusha vitu vya maana habari zingekuwa zingine saa hizi
Nani kasema?!

Shaheed si ndo mlikua mnazisifu kila siku, Leo zimetunguliwa mnasema ni cheap drones!!!!

Vipi zile Cruise na ballistic missiles?!
 
Mm nasema Kila cku kuwa mtu ukishawahi kuingia madrasa hata cku moja tu hauwezi kuwa mtu unaeweza kufikiri vizuri.
 
Nasikia Israel wametumia karibu 1B usd ku intercept makombola na drones za Iran,
Labda kuwatia hasara ndio kisasi Chao.
Kama mtu wa defence katumia 1b kujidefence je alio atack atakua katumia bajeti gani au mkishakua waislam na akili zinalala MK254
 
🇮🇱🔻44 Mossad military officers were killed in Navatim Air Base🔥
#IranAttack #Iranian ✌️🇮🇷
Shekhe hii taarifa nime itafuta kwenye channel kuu ya waajemi press TV sijaiona wewe ume itoa wapi weka hata link basi tuka isome uko
 
Mkuu tia akili Israel toka vita na Hamas imeanza hawajawahi kusema ukweli na kutoa taarifa zao halisi, wiki ilopita wamepiga marufuku hadi Aljazeera kwa kuvujisha taarifa zao wanachikichikia tu, Iran wamesema wao hawakusudia kuuwa watu walikusudia kupiga kwenye base ya IDF ambayo ilitumika kufanya shambulizi Damascas kule Syiria na Kamanda wa Iran anasema wamefanikiwa hassa 100%

Ndio maana nimehoji hivi Israel yote hiyo hakuna muislamu hata mmoja mwenye simu atupie picha za hao mamia ya Waisrael mnaosema wameuawa.
 
Kama mtu wa defence katumia 1b kujidefence je alio atack atakua katumia bajeti gani au mkishakua waislam na akili zinalala MK254

Wavaa dera kila wakiona hii picha wawe wanapata aibu

640px-Iran_Israel_Locator_%28without_West_Bank%29.png
 
Ndio maana nimehoji hivi Israel yote hiyo hakuna muislamu hata mmoja mwenye simu atupie picha za hao mamia ya Waisrael mnaosema wameuawa.
Hee yaani atupie picha hapa jf? iliyoripuliwa ni kambi ya jeshi unadhan atoke mtu akapige picha wakati waisrael wenyewe wakati linatokea hilo shambulio wamekibia kusikojulikana, ivi huwa unafikiria nini wewe kwenye shambulio la kivita
 
Back
Top Bottom