Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kilichotarajiwa kufanywa na Iran hakikutokea, makombora zaidi ya 300 yalirushwa lakini hakukuwa na madhara yoyote.
Vita imekwisha.
Vita imekwisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
malengo yametimia tena yamepitiliza...Je malengo Yao yametimia?
very cheap drones ndo maana ilikuwa rahisi kuzizuia,wangerusha vitu vya maana habari zingekuwa zingine saa hiziNa Iran katumia kiasi gani kufanya mashambulizi?!
Mwanaume kaua majemedar wawili na chawa wa makamanda 7. Mwanamke kaua binti wa kiislam. MmojaWanaume wamepiga ndani ya ardhi ya Israel. Sasa kama Israel ina ubavu iende ikapige Tehran ionyeshwe kazi!
Nani kasema?!very cheap drones ndo maana ilikuwa rahisi kuzizuia,wangerusha vitu vya maana habari zingekuwa zingine saa hizi
KItendo cha mtu kupiga tu ubalozi wako maana yake amepiga ardhi yako.Wanaume wamepiga ndani ya ardhi ya Israel. Sasa kama Israel ina ubavu iende ikapige Tehran ionyeshwe kazi!
Mkuu tia akili Israel toka vita na Hamas imeanza hawajawahi kusema ukweli na kutoa taarifa zao halisi, wiki ilopita wamepiga marufuku hadi Aljazeera kwa kuvujisha taarifa zao wanachikichikia tu, Iran wamesema wao hawakusudia kuuwa watu walikusudia kupiga kwenye base ya IDF ambayo ilitumika kufanya shambulizi Damascas kule Syiria na Kamanda wa Iran anasema wamefanikiwa hassa 100%
Hee yaani atupie picha hapa jf? iliyoripuliwa ni kambi ya jeshi unadhan atoke mtu akapige picha wakati waisrael wenyewe wakati linatokea hilo shambulio wamekibia kusikojulikana, ivi huwa unafikiria nini wewe kwenye shambulio la kivitaNdio maana nimehoji hivi Israel yote hiyo hakuna muislamu hata mmoja mwenye simu atupie picha za hao mamia ya Waisrael mnaosema wameuawa.