Kwa Hiyo Yanga Mmeingia mkataba wa milioni 16.6 kwa mwezi na GSM?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa.

1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run.

Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu..

This is too stupid for the club development
 
"To stupid for club development"...... Wewe unataka kutowa ngapi mkuu ili huyu tumfukuze? Kila raia bongo ni mtaalamu wa soka
 
Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa.

1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run.

Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu..

This is too stupid for the club development
Mkuu content ya mkataba hiyo ya 16.6m inasemaje tuanzie hapo kwanza na kwa maoni yako wewe ungependekeza iwe mkataba ya kiasi gani kwa mwaka?
 
Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa. 1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run. Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu..

This is too stupid for the club development
AUGUST 6, 2018

Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kuingia mkataba wa mwaka na Kampuni ya Utengenezaji vinywaji ya A One Products kupitia kinywaji cha Mo Energy Drink. Mkataba huo utakuwa na thamani ya fedha za kitanzania, shilingi milioni 250. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mwasala Masoud, amesema fedha hizo zitahusika na Simba kwa ajili ya shughuli mbalimbali ndani ya klabu hiyo.

Mwasala ameeleza kuwa kinywaji cha Mo Energy kitakuwa kinaiwakilisha kampuni ya A One kutokana na utengenezaji wa bidhaa zake ambazo inazalisha. Aidha, Mwasala ameeleza kuwa mkataba huo unaweza ukaongezwa tena baada ya kufikia ukingoni baada ya miezi 12 ijayo kumalizika.

Baada ya A One na Simba kusaini mkataba huo, Kaimu wa Rais wa klabu hiyo, Salim Abdallah ‘Try Again, amesema fedha hizo ambazo ni milioni 250 zitaenda katika mradi wa ujezi wa Uwanja Bunju. Ikumbukwe Simba walianzisha mradi wa ujenzi wa Uwanja huo lakini baadaye ukaja ukasimama kutokana na sakata la viongozi wa klabu akiwemo Rais Evans Aveva kushitakiwa mahakami.
 
Pale Kuna mo energy,mo soap,mo foundation
 
Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa.

1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run.

Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu..

This is too stupid for the club development
Nenda na bid yako biashara ipo huru
 
Sasa yanga we unaona kuna mtu anaakili timamu pale? We uwe na akili timamu unaweza kumuajiri Haji Manara aliewahi kuwatukana kuwa timu nzima hamna akili isipokua Baba yake na Jakaya
Wenye akili timamu ni wale walitolewa Manzoki kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom