Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
"To stupid for club development"...... Wewe unataka kutowa ngapi mkuu ili huyu tumfukuze? Kila raia bongo ni mtaalamu wa sokaImenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa.
1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run.
Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu..
This is too stupid for the club development
Mkuu content ya mkataba hiyo ya 16.6m inasemaje tuanzie hapo kwanza na kwa maoni yako wewe ungependekeza iwe mkataba ya kiasi gani kwa mwaka?Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa.
1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run.
Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu..
This is too stupid for the club development
bora wangekausha tu wasiseme dauTuambie mo cola inalipa sh ngapi, mo super wash inalipa sh ngapi?
AUGUST 6, 2018Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa. 1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run. Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu..
This is too stupid for the club development
Pale Kuna mo energy,mo soap,mo foundationAUGUST 6, 2018
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kuingia mkataba wa mwaka na Kampuni ya Utengenezaji vinywaji ya A One Products kupitia kinywaji cha Mo Energy Drink. Mkataba huo utakuwa na thamani ya fedha za kitanzania, shilingi milioni 250. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mwasala Masoud, amesema fedha hizo zitahusika na Simba kwa ajili ya shughuli mbalimbali ndani ya klabu hiyo.
Mwasala ameeleza kuwa kinywaji cha Mo Energy kitakuwa kinaiwakilisha kampuni ya A One kutokana na utengenezaji wa bidhaa zake ambazo inazalisha. Aidha, Mwasala ameeleza kuwa mkataba huo unaweza ukaongezwa tena baada ya kufikia ukingoni baada ya miezi 12 ijayo kumalizika.
Baada ya A One na Simba kusaini mkataba huo, Kaimu wa Rais wa klabu hiyo, Salim Abdallah ‘Try Again, amesema fedha hizo ambazo ni milioni 250 zitaenda katika mradi wa ujezi wa Uwanja Bunju. Ikumbukwe Simba walianzisha mradi wa ujenzi wa Uwanja huo lakini baadaye ukaja ukasimama kutokana na sakata la viongozi wa klabu akiwemo Rais Evans Aveva kushitakiwa mahakami.
Soma vizuri, huo ni mkataba wa Mo EnergyPale Kuna mo energy,mo soap,mo foundation
Weka na mikataba ya mo soap na mo foundationSoma vizuri, huo ni mkataba wa Mo Energy
Nenda na bid yako biashara ipo huruImenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa.
1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run.
Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu..
This is too stupid for the club development
Wenye akili timamu ni wale walitolewa Manzoki kwenye uchaguziSasa yanga we unaona kuna mtu anaakili timamu pale? We uwe na akili timamu unaweza kumuajiri Haji Manara aliewahi kuwatukana kuwa timu nzima hamna akili isipokua Baba yake na Jakaya