Kwa hizi jezi mbaya, Yanga ilihitaji Manara aje kuzibusti

Kwa hizi jezi mbaya, Yanga ilihitaji Manara aje kuzibusti

Mmh maskini jezi za simba hazijamalizana na Mo zimeshaongezewa li chata kuubwaa la vunja bei
 
Unataka iwe na makorokoro ya Mo Nazi, Mo Chungwa, Mo Kiberiti, Mo protector mpaka makalioni?
 
Subiri kolije ya mwamedi na vunja bei

IMG_4504.jpg

Utopolo wenu huo
 
Kuna masenge humu hatari yan jitu ni shabiki mkate la simba bt linaanzsha uzi wa kukosoa jezi ya yanga

Ni swala la muda tu tunasubiri za vunja bei sasa msimu uliopta mlitengeneza jezi aina 3 kupambana na jezi moja tu ya yanga na bado mkaangukia pua mpk mwamedi akaona isiwe shida akampa kaz vunja bei

Msimu huu mtatengeneza aina 6 kupambana na hii mtatengeneza jezi ya
Kombe la mapinduzi
Kombe la ligi kuu
Kombe la shirikisho
Kombe la club bingwa mkitolewa mnatengeneza ya shirikisho

Na bado hamtafua dafu
Hahahaha.....MIKIA ni MIKIA tu wallah
 
Kama nimesoma vizuri kuna mdau amesema Simba/Mikia wasubiri Malonyalonya ya Vunjabei
IMG_20210825_160349.jpg
 
Back
Top Bottom