Kwa hizi kashfa zinazoendelea, itakuwa ngumu sana kiongozi Mchaga kukubalika

Majority nyie mnaongoza yaani adi mwanaume mwenzenu akawekewa nyeti ya kike ili tu apige hela , uchagani unaweza ukaogeshwa na ukoo kisa tu hela ipo. Watu wanatafuta chapaa ama pesa hawalembi
 
Majority nyie mnaongoza yaani adi mwanaume mwenzenu akawekewa nyeti ya kike ili tu apige hela , uchagani unaweza ukaogeshwa na ukoo kisa tu hela ipo. Watu wanatafuta chapaa ama pesa hawalembi
Endela kuishi na dhana potovu
 
Kwa hayo mabwabwa yote hapo daslamu ni wachaga?
Nimekuambia kuwa manzania wa kwanza kufanyiwa operesheni kuwekewa k ama maku ,hakuna mtanzania aliyewahi hata afrika mashariki nadhani mko mbele ya muda kwenye ishu ya hela , makabila mengine wakasome. Mnatanguliza mno hela hata wachaga wasio na hela huwa wanawakwepa wachaga wengine wanafanya urafiki na vyasaka ama vishoia, yaani huwa mnawanyanyasa utadhani hela ndio pumzi. Watu waliishi zama hizo hata Sasa ivi watu wanaishi bila ya hela sema nyie mnatukuza hela mno, unauza adi rafiki yako ili upate hela .
Nadhani hata wewe unawaza kuwekewa nyeti ya k ili upige hela Mana hamchelewi , disemba unawapa presha mno utaenda kujigambia Nini huko nyumbani utatumwa maji ya kunawa mikono
 
Ni vile tu watanzania wengi akili yao imepumbazwa..lkn kwa anayefanya hmwork yake inavyotakiwa kufahamu watanzania walivyo kwa bases za makabila, dini, elimu na mali kila kitu kinajulikana..wachaga ni wabinafsi, wapenda sifa na ufahari..nk

..anza kusoma mwanzo wa mada km utaelewa sababu ya kutaja wachaga km mfano wa kilichoongelewa kuleta hii discussion.
Kwenye mada kuu kuna walakini mleta mada amechokoza mada aone wengine mnasemaje,so hoja yako hapo umeandika as if neno lako ni sheria na kwamba mabaya yoote nchi hii ni ya kabila fulani ndiyo nikakuuliza kabila lako wewe lina uzuri gani hata uone wengine kwa jicho la kibaguzi kwamba hawafai?
 
Chuki chuki chuki, sijawahi kuona wachaga wakinyanyasa wengine , wachaga wanaishi na makabila yote kwa utani na upendo mno, tembea uone mchaga akiwa mikoa mingine tofauti na dar watu watampenda nahata kumkatia majina ya utani.

Hilo la kusema naweza badili jinsia kisa pesa ni mtazamo wako tu na soo uhalisia wa mambo
 
Uliyoyaandika yana Ukweli endapo Unazungumzia 2015 kurudi nyuma. Lemma, Mbowe n.k hawana tena ushawishi huo ulioandika kwasasa.

Siku hizi watu wanatumia akili zao zaidi ya Ushabiki wa Ajabu ajabu sijui Lemma, Samia n.k. Watu wanatumia Akili zao kupambanua mambo, hakuna Ushabiki tena kama zama za kale.
 
Wachaga wanafiki mno, hakuna mchaga anayenunua kwenye duka ambalo sio la mchaga mwenzake , unataka kujisafisha bana wakati mnajulikana adi Kuna wachaga wenzenu tu wanawaogopa. Wanaoa mwanamke anajenga nyumba huku anaficha anaogopa kuuliwa ili mali achukue mwanamke
 
Hao wasukuma walijazana moshi kufanya biashara , huwa biashara zao wanauzia mifugo sio?
 
..trend, experience inakupa ukweli pia..angalia vitendo vya mtu kwa muda fulani utagundua jambo.
 
Unaandika kujifurahisha siyo?

Kwa mazingira ya Tanzania unadhani hapo nilipo-bold kuna sehemu hilo linawezekana?kwamba hata wa kabila lako wakitaka huduma watafute duka mnalofanana kabila ndiyo wanunue?
 
Upo sahihi kabisa..
 
..tabia ya mtu hasi au nzuri huumbika kulingana na mazingira tofauti km kabila, dini, mali nk ni muhim kujua tabia ya mtu ili ufahamu namna ya kuishi nae, kusema jambo si sheria, na wala haimaanishi wachaga tu ndio wabinafsi, wapo watu wa dini fulani fulan ni wabinafsi pia..kusema ubaya wa kabila fulani hakumaanishi kabila langu ni zuri..mbona huelewi wewe..pinga hoja kwa mifano halisi na si kulinganisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…