Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Labda atapewa na Mabeberu pesa za kampeni kwa lissu kuwaahidi raslimali zetu
 
Mbunge wa Chadema alisema lissu kupigwa risasi ilikuwa mpango wa chama Kwasababu alitaka kujijenga yeye Ndio maana majasusi ya Chadema yakataka kumpoteza

Hujiulizi Kwanini walimtorosha dereva wa lissu asihojiwe ?
MACCM ndo walio nachuki naye kwa kuandaa mkakati wa kumpoteza ila Mungu hakupenda afe kwa zamu ile
 
Mkuu kazi ya Magufuli ni kujenga uchumi na maendeleo tuliolilia kwa miaka mingi

Kazi ya upendo tunamuachia mume wako, mwambie akupende haswa serkali haiwezi kuingilia
Kwa nini usishauri JIWE apumzike, kama ni kuua upendo na utaifa wetu kafanikiwa. Nini amebakiza?
 
Umesshau alivyokuwa akikesha usiku na mchana kuitukana Nchi yetu kwa kuwanyima Mabeberu madini ?
Mna raslimali gani za kuibiwa? Ni mzungu gani anamsubiri Lissu ili aibe raslimali za nchi hii? Kwani ni kipi mpaka sasa hivi wamekosa kwenye hizo raslimali, hadi wasubiri Lisu awatetee? Bado mnaishi kwenye hizo propaganda za kizee?
 
Kwa Tanzania ukimtukana Baba wa Taifa lazima mikosi na laana zikuandame

Tujifunze tusiwe km Lissu kuepuka laana na mikosi
Kwani kupata kilema mpaka umtukane huyo Mungu mtu?
 
Hivi Chadema bado inamsubiria Tundu Lisu kugombea nafasi ya Urais?.Bado sijaona wa kumg'oa John Pombe Joseph (PhD)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…