Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Unaamini hizo propaganda za Chadema

Haya Subiri membe atapewa 2025 baada ya Rais Magufuli kustaafu
Hapana Mkuu, hapa naongea kama mwana CCM kindaki ndaki. Membe atatufaa sana kwa awamu ijayo, Magufuli ameishiwa pumzi. Uchumi umekorogeka, deni la Taifa linazidi kuongezeka, ufisadi wa zile Trilion 2.5, matumizi mabaya ya madaraka na kujilipa bilioni 1.2 za chee kila mwezi n.k. Huoni kama likiruhusiwa JUKWAA HURU, CCM hatutakuwa na hoja yeyote? Magufuli sasa basi, Twende na Membe.
 
Tunataka mgombea atakayempa chagamoto mgombea wa Ccm Rais Magufuli
Mkimsimamisha huyo mropkaji aliyeko ubeligiji hata diwani hamtapata
Kwani mna hofu gani na LISSU? Kama hafai si ndo itakuwa njema kwenu kupata ushindi? Hofu yenu kwa LISSU ni nini?
 
Hahaha labda wabunge wa kuchora

Ila mimi nilipo najua, tathimini imekuja najua Chadema hana jimbo la kushinda October

Magufuli ndio kakuambia kuwa ameiagiza tume ya uchaguzi kufanya hivyo?
 
Hakuna mwenye hofu ila tunataka mgombea atakayempa chagamoto mgombea wa Ccm Rais Magufuli

Mkimsimamisha huyo mropkaji aliyeko ubeligiji mtapigwa asubuhi
si mnasema chama kimekufa au nasikiaga vibaya.
hofu ya nini sasa
 
Mkuu mtaa wote upo na Magufuli vijana wanamuita Baba lao

Trust me upepo wa Rais Magufuli ni noma mtaani, Mzee anakubalika hakuna

Angekuwa anakubalika asingekuwa anaagiza mabox ya kura yatolewe vituoni kwenda kujazwa kura za ccm. Tusingekiwa tunaona ukatili na uhayawani wa wazi kwenye chaguzi ili ccm watangazwe washindi.
 
Mnaweweseka na hapo ndiyo bado asubuhi, bado dume la mbegu halija tia team
Hakuna mwenye hofu ila tunataka mgombea atakayempa chagamoto mgombea wa Ccm Rais Magufuli

Mkimsimamisha huyo mropkaji aliyeko ubeligiji mtapigwa asubuhi
 
Baba wataifa sio Alfa na Omega babu , alikuwa na makosa yake kama binadamu
Na aliyakiri hadharani mapungufu yake. Aliandika na vitabu viwili vya kukusoa, Tujisahihishe na Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania. Vitabu hivi vyote vililenga kujikosoa na kurekebisha
 
CHADEMA haihitaji ushauri wako

Jr[emoji769]
Pesa Lisu Hana za kampeni na chadema haina hela. Akiulizwa una shilingi ngapi za kampeni mfukoni Hana hata Mia

Na safari hii Hakuna tajiri atakuwa tayari kumgharimia kampeni Baada ya kuwatoa Lowasa na Sumaye wenye connection na matajiri

Kiujumla chadema uchaguzi huu kina Hali mbaya pesa hakina na Lisu lofa
 
Back
Top Bottom