kitakachomjengea mazingira magumu uyu bwana aliyepo madarakan ni kwamba ametengeneza maadui wengi sana kipindi hiki cha uongozi wake, yaan wahanga ni wengi kuliko vipindi vyote vya uongoz, watu wametekwa sana, watu wametumbuliwa sana hatimaye mustakhabali wa maisha yao kuharibiwa, mishahara kwa wafanya kazi haijapanda ndan ya miaka mitano, kufanya vitu nje ya katiba ya jamhur ya muungano mfano kununua midege ile wakati wananchi uku wanakufa njaa, watu wametolewa bunduki hadharan kama vile tupo sudan, yaan ki uhalisia uongozi wa uyu bhana ni mgum sana japo yapo mazuri pia aliyoyafanya