Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Ndio maana tunataka upinzani wa Chadema ufutike tunataka vyama vya upinzani vyenye uzalendo km Nccr mageuzi
Upinzani hauhitaji chama

Hata enzi za Tanu na Ccm kulikuwa hakuna chama wala ruzuku
 
Mkuu lissu anajulikana Jamii forum na Twitter tu

Kipigo atachoopokea lissu October hakielezeki
Hofu ya ccm ni dhidi ya Lissu ni ya haki. Wanaccm wanajua vyema wakati mgumu aliokutana nao JK uchaguzi wa 2010 dhidi ya Dr. Slaa. Wanaccm wote wanajua udhaifu alionao Magufuli kwenye kujenga hoja, na ubora na ushawishi alionao nao Lissu, wanajua fika ccm itaenda kupoteza mvuto bandia ilioujenga kwa kutumia vyombo vya dola, kunyima uhuru wa vyombo vya habari, kundi la watu wasiojulikana nk. Hivyo hawako tayari Lissu agombee maana wanajua watajikuta kwenye wakati mgumu mno wakati wa uchaguzi, na hasa baada ya uchaguzi.
 
Hahaha labda wabunge wa kuchora

Ila mimi nilipo najua, tathimini imekuja najua Chadema hana jimbo la kushinda October
Hakuna uwezekano wa cdm kukosa wabunge chini ya 50 kwa njia ya kura. Hilo toa kabisa kwenye matamanio yako.
 
Mkuu mtaa wote upo na Magufuli vijana wanamuita Baba lao

Trust me upepo wa Rais Magufuli ni noma mtaani, Mzee anakubalika hakuna
Mtaa upi ambao sisi hatufiki, au unadhani watu kunyamaza kwa kuhofia lile kundi lenu la watu wasiojulikana, basi ndio wanaikubali ccm?
 
Tunataka mgombea atakayempa chagamoto mgombea wa Ccm Rais Magufuli

Ila huyu lissu hata diwani hamtapata
Yaani timu ya Simba ikaipe ushauri timu ya Yanga namna ya kupata ushindi dhidi yao?
Kweli maajabu hayataisha duniani!!!
 
Mkuu October msije kusema hatuwaambia chama kitakosa hata ruzuku ya mbunge mmoja
EZvwOv6XgAEFdFC (1).jpeg
 
2015 Lowasa alileta kura za Ccm

Mchukeni Membe aongeze kura za Ccm la sivyo huyo jamaa enu hata kura laki moja hapati
Membe sio potential sana kama alivyokuwa babu wa Monduli kunako 2015. Bakini nae tu
 
Back
Top Bottom