Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Unataka raha ya siasa sio matokeo bora
Demokrasia ni uwanja mpana wenye mkitadha na ladha ya ushindani hii yetu sio demokrasia tena imepoteza maana.
Hata wewe nafahamu haupendi kinachoendelea sema unasukumwa na dhamira ya uchama
 
Tunataka mgombea atakayempa chagamoto mgombea wa Ccm Rais Magufuli

La sivyo Chadema itagongwa tatu bila
Kwani Nakusingizia kamanda? Tangu lini chama tawala kikawashauri wapinzani wake namna ya kukiondoa madarakani?
 
Ccm kitashinda kwa demokrasia Mkuu
Sidhani km kuna ubakaji wa demokrasia
CCM imekosa dira ya demokrasia sioni haja ya vitisho maana Ccm ina kila kitu hata bila vitisho wanaweza kushinda.

Waambieni wananchi mliyo fanya ni mengi hususan kwenye miundombinu hata kama mna sera mbovu bado nafasi mnayo ila hofu ndiyo imewafanya mmejenga ukatili na manyanyaso kwa kila mnayetofautiana nae
 
Liasu na wote ulowataja hawana sifa za kuwa maRais wa Tanzania labda wawe maRais wa Wasafi. Sioni sababu ya Chadema kuingia kwenye kintang'anyiro cha Urais maana hakina mtu mwenye sifa hata mmoja
 
2015 Lowasa alileta kura za Ccm

Mchukeni Membe aongeze kura za Ccm la sivyo huyo jamaa enu hata kura laki moja hapati
Mh. Kwa matokeo ya uraisi ya 2015, sidhani kama CCM wanatamani itokee kilichotokea. It was a horror movie
 
CHADEMA kama mnataka msidumbukie shimo kaeni mbali na lissu mtakiua chama akigombea Urais

Kwasababu Lissu amekuwa ni mtu wa jazba asiyedhibiti emotional za ndani.

Ana chuki na vyama vingine vya kisiasa na kuvidharau mfano huita CCM"maccm" yaani yeye watu wa muhimu kwake ni Chadema tu wengine ni takataka huyu moja kwa moja anakosa sifa za kuwa kiongozi

Alimdhalilisha Baba wa Taifa bungeni kwa kutoa maneno ya kejeli na kudhihaki hii haijawahi kutokea kwa kiongozi yeyote toka Nchi yetu ipate uhuru

Wakati akiwa mbunge alkuwa akiwakataza Wananchi wasichangie michango ya maendeleo jimboni kwake hali iliyopelekea shughuli za maendeleo kusimama

Wakati Rais Magufuli anatetea Watanzania juu ya madini yetu yaliyokuwa yakiporwa na Mabeberu tunajua Lissu alikuwa anawatetea watu gani

Kazi kwenu Chadema muamue msimamishe lissu mfe kabisa au muangalie watu wanaoweza kukibeba chama

Kwa maoni yangu watu kama Peter Msigwa, Lema, Nyalandu au Membe wanaweza kuonesha upinzani kwa mgombea wa CCM Rais Magufuli la sivyo mkimsimamisha Lissu hata diwani hamtapata.
Tangu lini ccm wakaitakia mema CHADEMA?????
 
Mkuu niweweseke kwa mtu unfit? Huyo jamaa enu hamna kitu pale
Acheni hofu jengeni hoja za mliyoyafanya shaurini viongozi wenu msiegemee upande mmoja demokrasia safi ni maendeleo ya watu na vitu.
Tuache kugombana kwasababu ya vyama na watu tutangulize uzalendo wa taifa letu
 
Mkuu October msije kusema hatuwaambia chama kitakosa hata ruzuku ya mbunge mmoja
Hii ngoma tuachieni sisi nyie chezeni ya

Hii ngoma tuachieni tuicheze wenyewe nyie pambaneni kivyenu tusifuatiliane [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom