Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Awali chadema walikuwa wanayasema matatizo ya wananchi wanayoyaoata mfano hamna maji umeme barabara mbovu n.k, saivi no agenda yakuzungumza na hamtaki kubadili viongozi ili mpate mawazo mapya, naona ushindi wenu utakuwa finyu sanaaaaa hata mkimpa Tundu lissu awawakilishe.
 
Hauyumbishwi kwa kuwatumikia na kuwatetea Mabeberu dhidi ya raslimali zetu ?
Lisu ni kichwa chenye akili nyingi siyo wa mchezo mchezo ni mwamba unao simama katika usahihi wa kile anachoamini hayumbishwi na lolote
 
Sio tunampinga tunaipenda Chadema tunataka isife
Wakimsimamishe huyo Mzee wa MIGA watafutika
Mimi nawashauri CHADEMA msisikilize ushauri wa watu wanaompinga lissu kama huyu jamaa. Simameni na msimamo wenu
 
Back
Top Bottom