impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Siasa za ushindani zina raha yake vijana wa lumumba kuweni flexible ili mshauri chama chenu ushindi wa 99.99 ni ubakaji wa demokrasia na ni dhambi kubwa sana.Ipo siku mtakumbuka ushauri wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa za ushindani zina raha yake vijana wa lumumba kuweni flexible ili mshauri chama chenu ushindi wa 99.99 ni ubakaji wa demokrasia na ni dhambi kubwa sana.Ipo siku mtakumbuka ushauri wangu
Kawaambie maccm
Tangu lini gamba Kawe Alumni akawa mshauri wa upinzani? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Lisu alishakuwa blacklisted kama seif
Kama jpm ameweza hats wewe unaweza
Leo mnampenda mbowe.the tehMbowe asiposhituka kumtosa lissu atajuta baadae
Hauwezi kuwa mwema kwa chadema jina la lisu linakupa kiweweFanyieni kazi ushauri wangu la sivyo October mtanikumbuka
Lisu ni kichwa chenye akili nyingi siyo wa mchezo mchezo ni mwamba unao simama katika usahihi wa kile anachoamini hayumbishwi na lolote
Yamekuwa hayo ?
Si ajabu tukaumbuka October,siyo mara ya Kwanza tunaumbuka.Fanyieni kazi ushauri wangu la sivyo October mtanikumbuka
Takagua jeshi anachechemeaAcha Chadema wajikoroge wampitishe unfit
Watapigwa tatu bila October
Mimi nawashauri CHADEMA msisikilize ushauri wa watu wanaompinga lissu kama huyu jamaa. Simameni na msimamo wenu
Wewe naye points zako ziko wapipointless! inaonyesha umekosa cha kuongea ww
Ameishiwa na propaganda za lumumbaKwani Nakusingizia kamanda? Tangu lini chama tawala kikawashauri wapinzani wake namna ya kukiondoa madarakani?
Sasa ww kama ccm si ndio muda wako mzuri kuiacha chadema inatumbukia shimoni
Wewe ndio mwoga naona unavyohangaikaManeno yako yamejaa hofu na woga lakini huoni ujue
Jr[emoji769]
Kwa aina ya demokrasia mnayojenga Ccm ya vitisho na kukandamiza upinzani mtashinda kwa 99.99%