Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Lisu alishakuwa blacklisted kama seif
 
Mimi nawashauri CHADEMA msisikilize ushauri wa watu wanaompinga Lissu kama huyu jamaa. Simameni na msimamo wenu.
 

Sasa ww kama ccm si ndio muda wako mzuri kuiacha chadema inatumbukia shimoni
 
Mkuu hakuna mwenye hofu na huyo mtu ! Mtu anayeropoka utakuwa na hofu naye vipi?
Hivi hofu juu ya Lissu ni ipi mpaka mnahangaika naye kiasi hiki? Mnadhani mnamchafua kumbe ndio kwanza mnamjenga na kumtangaza zaidi

Jr[emoji769]
 
Hivi hofu juu ya Lissu ni ipi mpaka mnahangaika naye kiasi hiki? Mnadhani mnamchafua kumbe ndio kwanza mnamjenga na kumtangaza zaidi

Jr[emoji769]
Hakuna hofu atulie tu maana atatia aibu
 
Pointless! inaonyesha umekosa cha kuongea ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…