Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

Kwanini unaamini kuwa maamuzi yake ni ya haki..? Unafikiri kwa kumtenda vile farao ilikuwa ni haki..?
Huoni kuwa kuingilia ufahamu wa mtu na kumtenda utakavyo ni kuingilia Uhuru wake..?
 
Kwanini unaamini kuwa maamuzi yake ni ya haki..? Unafikiri kwa kumtenda vile farao ilikuwa ni haki..?
Huoni kuwa kuingilia ufahamu wa mtu na kumtenda utakavyo ni kuingilia Uhuru wake..?
Tatizo nikuwa hiz iman zimetufunga kukosoa
 
Haha! Patamu hapo..😂
Sasa mimi japo ni mkristu ila kuna mda naona kama kati ya Mungu au mwandishi wa kitabu chs mwanzo alifanya makosa. Ebu kwa akili ya kawaida jiulize Mungu kaumba binadamu na yeye mwenyewe akaona kaumba kitu chema, akakiweka kwenye bustani (kumbuka hio bustan ipo kwenye ulimwengu ambao adui wa Mungu alitupwa) alaf anampa shariti la kutokula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya had hapo inamaanisha huyu mtu alikuwa hana ufaham juu ya kipi chema na kipi kibaya hiv hapo unategemea nn kitokee?
Maana nisawa na mzazi amuweke mtoto wake wa miez 3-7 kwenye michanga alaf amwambie usile michanga ni uchafu ilihali anajua yule hakuna anachojua juu ya uchafu na usafi.

Ila tunaambia kuwa Mungu aliitaji utii wa Adam. How ? Utii pasipo ufahamu?

Ngoja tuendelee kuamin tu
 
Taratibu akili zitakaa sawa tu haya Mambo yanahitaji usumbue bongo kidogo tu utaona mambo yalivyokaa hovyo..😂
Lipo swala tena nisipolianzishia mada usiku huu basi kesho asubuhi..
 
Taratibu akili zitakaa sawa tu haya Mambo yanahitaji usumbue bongo kidogo tu utaona mambo yalivyokaa hovyo..😂
Lipo swala tena nisipolianzishia mada usiku huu basi kesho asubuhi..
Sema tunaenda nayo hvyo hvyo maana hiz iman zinatusaidia pia kutushape tabia.
 
Sema tunaenda nayo hvyo hvyo maana hiz iman zinatusaidia pia kutushape tabia.
Inafaa kwa baadhi ya watu! Mkuu nimefatilia tabia za watu,kiufupi napenda sayansi ya saikolojia pia nimegundua baadhi ya watu ambao hatuamini kuhusu Mungu tumekuwa na matendo mazuri zaidi kushinda hata hao wanaoamini!.

Wengi wanatuona Kama ni watu fulani ambao tupo huru kutenda tutakavyo lakini kumbe hilo ni uongo!,uwezo mzuri wa akili ni pamoja na kufata sheria pasipo kushurutishwa!.. hivi nani asiejua kuwa hao viongozi wa dini wanamaovu kedekede..? Haya hao waumini mpk wengine tunawajua matendo yao ya hovyo na walivyo wamafki sasa yani mpk unajisemea huyo Mungu mbona kazi anayo..😂

Binafsi simuoni tena Mungu Kama wengine wanavyomuona!,kusema kweli ukifatilia kwa undani hizi imani utajua vitu vingi sana unajua ndio maana sahivi sijikiti hata kuhoji kuhusu waumini wa Mungu bali zaidi najikita kuhoji Mungu ama Uungu!..
 
Kwanini unaamini kuwa maamuzi yake ni ya haki..? Unafikiri kwa kumtenda vile farao ilikuwa ni haki..?
Huoni kuwa kuingilia ufahamu wa mtu na kumtenda utakavyo ni kuingilia Uhuru wake..?

Ikiwa jambo dogo tu hili huwezi kulifikiria kiundani na kuliundia picha hili uelewe licha ya mimi kulirudia mara 3 ni vipi waweza uliza maswali ya msingi aliyojiuliza Ayubu juu ya Mungu?

Nafikiri ni muda muafaka nifunge mjadala na wewe nasikitika kuwa ujisomei biblia ila unapost fikra zako mtandaoni tu, ikiwa mtu mzima unaendelea kuhoji juu ya uhuru wa fahamu za Mungu ndani yako mwenyewe, Vipi wadhani utaweza mchunguza na kumkosoa Mungu na kazi zake?
 
so zimbambwe hakukua na watu na jangwa la sahara hakukua na watu
kwaiyo sisi tumetoka wapi
 
so zimbambwe hakukua na watu na jangwa la sahara hakukua na watu
kwaiyo sisi tumetoka wapi
Watu wengi tunaoishi Kusini mwa jangwa hasa East Afrika mpaka Kusini Kule ni wahamiaji wengi walitoka Kush mpaka south Africa hata hivyo idadi ya Watu ilikua ndogo sana,
Middle East Toka mwanzo mwa civilization ya Mwanadamu walikua wengi sana
Hivyo Israelites wangekuja huku hata isingekua nongwa Wala mgogoro maana ardhi ilikwepo na ipo ya kutosha!
 
Kwahiyo ukitoa wakristo, wengine woteee WANAENDA MOTONI?

#YNWA
Nani kasema?
Kwa mjibu wa imani ya kikristu, Kuwa mkristu haikupi ticket ya moja kwa moja kwenda mbingu au motoni kuna mambo mengi yanaangaliwa ili uweze kuikwepa jehanam.


NB: Kila iman inajiona yenyewe ndio ipo sahh na kutokuikili ni kujipeleka motoni so ni vizuri ukiuliza swali kama hilo anza kwa kusema "kwa mjibu wa imani flan"
 
Ulijibu kama mkristo..
Ndio nikakuuliza "wakristo wote ndio wataingia peponi?"

Ngoja niulize Tena...

Let's assume wakristo wotee ndio wamempokea Kristo na wameokoka.

Then wao ndio wataenda peponi?

Na Hawa wengine waislamu, budha, Krishna, e.t.c WATAENDA MOTONI kwasababu wameikataa Imani ya kikristo?

#YNWA
 
Ndio.
 
Inasemekana makampuni yoote ya ngono ndani ya Jiji la Los angeles yanamilikiwa na kufadhiliwa na hao hao Mayahudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…