Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

Chukulia mfano wewe ni mwili na Mungu ni akili, kati yako wewe na akili nani mtoa maamuzi na nani ni mtendaji? (..hakika nawahakikishieni Mimi na Baba yangu ni wamoja..")

Kama Mungu ni component inayoishi ndani yako basi jua kuwa wewe pia waishi ndani ya mwili wake, ina maana wewe ni spare part mojawapo kwenye mwili wake na hili akuondoe wewe lazima ajidhuru yeye pia (jibu rahisi la tafsiri ya Yesu kufa kwa ajili ya dhambi zetu)

Ndiyo maana Yesu anasema kama mguu unakukwamisha au jicho linakukosesha ling'oe utupe kwa maana ni heri kuishi chongo kuliko kuwa mdhambi. ("..Ulitakalo lifanyike duniani iwe kama mbinguni..") Kwahyo hicho anachokuagiza ufuate ndicho anachokifanya pia.

Swali lako la sababu ya kufanya moyo wa farao kuwa mgumu nilishalijibu kwa kirefu na kwa njia ya mtego wa maswali hivyo sitolirudia, ila kwa ufafanuzi huo mfupi kuna kitu kipya naamini umepata.

NB; Mwenyezi Mungu kama owner wa binadamu na kila kitu pia ana maamuzi yake ya kumfanya binadamu afanye jambo lolote iwe linahukumiwa kibinadamu kuwa na manufaa au bila manufaa pasipo kuingiliwa wala kuojiwa na mtu yeyote. Lakini amini yeye ni mkamilifu kamwe hakosei na maamuzi yake daima yana sababu na hayatiliwi mashaka, na akiahidi yeye kahaidi kweli lazima litimie.
Kwanini unaamini kuwa maamuzi yake ni ya haki..? Unafikiri kwa kumtenda vile farao ilikuwa ni haki..?
Huoni kuwa kuingilia ufahamu wa mtu na kumtenda utakavyo ni kuingilia Uhuru wake..?
 
Kwanini unaamini kuwa maamuzi yake ni ya haki..? Unafikiri kwa kumtenda vile farao ilikuwa ni haki..?
Huoni kuwa kuingilia ufahamu wa mtu na kumtenda utakavyo ni kuingilia Uhuru wake..?
Tatizo nikuwa hiz iman zimetufunga kukosoa
 
Haha! Patamu hapo..😂
Sasa mimi japo ni mkristu ila kuna mda naona kama kati ya Mungu au mwandishi wa kitabu chs mwanzo alifanya makosa. Ebu kwa akili ya kawaida jiulize Mungu kaumba binadamu na yeye mwenyewe akaona kaumba kitu chema, akakiweka kwenye bustani (kumbuka hio bustan ipo kwenye ulimwengu ambao adui wa Mungu alitupwa) alaf anampa shariti la kutokula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya had hapo inamaanisha huyu mtu alikuwa hana ufaham juu ya kipi chema na kipi kibaya hiv hapo unategemea nn kitokee?
Maana nisawa na mzazi amuweke mtoto wake wa miez 3-7 kwenye michanga alaf amwambie usile michanga ni uchafu ilihali anajua yule hakuna anachojua juu ya uchafu na usafi.

Ila tunaambia kuwa Mungu aliitaji utii wa Adam. How ? Utii pasipo ufahamu?

Ngoja tuendelee kuamin tu
 
Taratibu akili zitakaa sawa tu haya Mambo yanahitaji usumbue bongo kidogo tu utaona mambo yalivyokaa hovyo..😂
Lipo swala tena nisipolianzishia mada usiku huu basi kesho asubuhi..
 
Taratibu akili zitakaa sawa tu haya Mambo yanahitaji usumbue bongo kidogo tu utaona mambo yalivyokaa hovyo..😂
Lipo swala tena nisipolianzishia mada usiku huu basi kesho asubuhi..
Sema tunaenda nayo hvyo hvyo maana hiz iman zinatusaidia pia kutushape tabia.
 
Sema tunaenda nayo hvyo hvyo maana hiz iman zinatusaidia pia kutushape tabia.
Inafaa kwa baadhi ya watu! Mkuu nimefatilia tabia za watu,kiufupi napenda sayansi ya saikolojia pia nimegundua baadhi ya watu ambao hatuamini kuhusu Mungu tumekuwa na matendo mazuri zaidi kushinda hata hao wanaoamini!.

Wengi wanatuona Kama ni watu fulani ambao tupo huru kutenda tutakavyo lakini kumbe hilo ni uongo!,uwezo mzuri wa akili ni pamoja na kufata sheria pasipo kushurutishwa!.. hivi nani asiejua kuwa hao viongozi wa dini wanamaovu kedekede..? Haya hao waumini mpk wengine tunawajua matendo yao ya hovyo na walivyo wamafki sasa yani mpk unajisemea huyo Mungu mbona kazi anayo..😂

Binafsi simuoni tena Mungu Kama wengine wanavyomuona!,kusema kweli ukifatilia kwa undani hizi imani utajua vitu vingi sana unajua ndio maana sahivi sijikiti hata kuhoji kuhusu waumini wa Mungu bali zaidi najikita kuhoji Mungu ama Uungu!..
 
Kwanini unaamini kuwa maamuzi yake ni ya haki..? Unafikiri kwa kumtenda vile farao ilikuwa ni haki..?
Huoni kuwa kuingilia ufahamu wa mtu na kumtenda utakavyo ni kuingilia Uhuru wake..?

Ikiwa jambo dogo tu hili huwezi kulifikiria kiundani na kuliundia picha hili uelewe licha ya mimi kulirudia mara 3 ni vipi waweza uliza maswali ya msingi aliyojiuliza Ayubu juu ya Mungu?

Nafikiri ni muda muafaka nifunge mjadala na wewe nasikitika kuwa ujisomei biblia ila unapost fikra zako mtandaoni tu, ikiwa mtu mzima unaendelea kuhoji juu ya uhuru wa fahamu za Mungu ndani yako mwenyewe, Vipi wadhani utaweza mchunguza na kumkosoa Mungu na kazi zake?
 
Kumekucha! kumekucha!

Hao jamaa na hekaya zao za Mungu wamewafanya mpaka African kua Brain washed hawaambiliki

Yaani Mungu wao El/YHW/JEHOVAH/Elohim

Ni Mungu mshenzi na mgomvi, katili,uncivilized,mwongo na mwenye ahadi hewa Kwa watu wake
Imagine aliwaahidi Babu zao kina Abraham Kwamba uzao wake utakua mwingi kama mchanga wa bahari😁

Akawaambia Tena Atawapa Kaanan iwe Mali Yao Kwa kupora na ubabe,
Aliwatoa misri utumwani et
anawapeleka nchi ya ahadi yenye Asali na maziwa maajabu akawatembeza jangwani miaka 40 hata hawafiki mpaka wakafa wote

Baada ya miaka 40 ndio wanaanza panga vita ya kupora ardhi ya watu yenye maziwa na asali Kwa kuua raia wote mpaka wanawake na watoto!

Alivyo juha Huyo Mungu wao badala Ile Miaka 40 awapeleke kusini mwa jangwa la Sahara kama huku East Afrika au Zimbabwe sehemu yenye maeneo makubwa na hakuna watu wanaishi akaanza akawapeleka kuvamia mashamba ya watu Kaanan

Stupid God!
so zimbambwe hakukua na watu na jangwa la sahara hakukua na watu
kwaiyo sisi tumetoka wapi
 
so zimbambwe hakukua na watu na jangwa la sahara hakukua na watu
kwaiyo sisi tumetoka wapi
Watu wengi tunaoishi Kusini mwa jangwa hasa East Afrika mpaka Kusini Kule ni wahamiaji wengi walitoka Kush mpaka south Africa hata hivyo idadi ya Watu ilikua ndogo sana,
Middle East Toka mwanzo mwa civilization ya Mwanadamu walikua wengi sana
Hivyo Israelites wangekuja huku hata isingekua nongwa Wala mgogoro maana ardhi ilikwepo na ipo ya kutosha!
 
Kwahiyo ukitoa wakristo, wengine woteee WANAENDA MOTONI?

#YNWA
Nani kasema?
Kwa mjibu wa imani ya kikristu, Kuwa mkristu haikupi ticket ya moja kwa moja kwenda mbingu au motoni kuna mambo mengi yanaangaliwa ili uweze kuikwepa jehanam.

NB: Kila iman inajiona yenyewe ndio ipo sahh na kutokuikili ni kujipeleka motoni so ni vizuri ukiuliza swali kama hilo anza kwa kusema "kwa mjibu wa imani flan"
 
Ulijibu kama mkristo..
Ndio nikakuuliza "wakristo wote ndio wataingia peponi?"

Ngoja niulize Tena...

Let's assume wakristo wotee ndio wamempokea Kristo na wameokoka.

Then wao ndio wataenda peponi?

Na Hawa wengine waislamu, budha, Krishna, e.t.c WATAENDA MOTONI kwasababu wameikataa Imani ya kikristo?

Ndio.
 
Mungu wa biblia,

Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima!

Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee angeweza kuwafikisha wana wa Abraham ktk nchi ya asali na maziwa ambayo ndo Israel!

Haikuishia hapo tu bali ikanadi taifa hili kuwa atakaelibariki nae atabarikiwa,vivyohivyo ambae ataridhihaki taifa hili nae atadhihakiwa!. (Sijaandika Kama ilivyoandikwa ila kwa ambao wameshasoma hicho kitabu watakuwa wameshanielewa).

Tukifatilia taifa hili ni moja ya taifa ambalo watu wake wameishi sana kwa upanga(Vita),toka agano la kale mpaka sasa Mambo ni moto.

Moja Kati ya sifa ya Mungu wa taifa hili tumekuwa tukihubiriwa kuwa ni Mungu wa amani lakini taifa lake aliloliteua na kulinadi mbele ya mataifa mengine limekua ni taifa lililotapakaa sana damu!

Je, hiyo ndio amani iliyomjaa Mungu wa taifa hilo?

Mpaka sasa jilani yao palestina amekuwa ni jilani ambae amekuwa akipokea kichapo kikali toka ktk taifa hili teule!
Je,hiyo ndo nchi ya asali na maziwa waliyoahidiwa?

Hata wao wenyewe wamekuwa sio wamoja ktk imani kwani wapo wanaoamini agano la kale nakuacha hili jipya!, namaanisha wanaamini yesu bado hajaja Kama ilivyotabiliwa agano la kale na wanamsubiri bado na pia wapo wanaoamini kuwa aliekuja na kuteswa ndie yesu it means yule alietabiliwa ktk agano la kale ameshakuja na ameshasurubiwa,Kama ilivyoandikwa agano jipya.

Sasa kwa mikanganyiko hii ya wana wa taifa hili teule ambao mikono yao imetapakaa damu kwa kuvunja amri ya Mungu wao wenyewe ya "USIUE" je,ipo haja ya kuamini kuwa hili ni taifa teule au tujue tumepigwa na kitu kizito kichwani..?

Kwani Mungu alikosa njia nyengine ya kuweza kuwapitisha watu wake vizuri nakwaamani pasipo kuwamwagisha damu..?

Hawaoni kuwa wanatupa mkanganyiko hasa wao na Mungu wao kwa kuvunja sheria walizoweka...??
Inasemekana makampuni yoote ya ngono ndani ya Jiji la Los angeles yanamilikiwa na kufadhiliwa na hao hao Mayahudi.
 
Back
Top Bottom