Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

Kwanini unaamini kuwa maamuzi yake ni ya haki..? Unafikiri kwa kumtenda vile farao ilikuwa ni haki..?
Huoni kuwa kuingilia ufahamu wa mtu na kumtenda utakavyo ni kuingilia Uhuru wake..?
Farao aliua wazaluwa wa kwanza wote wa wayahudi kwa kuwachinja hiyo ilikuwa haki yake? Ulitaka Mungu amuache tu?

Piloi miaka 400 aliwTumikisha wayahudi wote kama watumwa asiowalipa chochote ilikuwa haki yake Farao kufanya hivyo? Ulitaka Mungu amuache tu?
 

Soma biblia vizuri, ina historia kubwa sana ya upanga
 
Weweweweee! Dumas!! Acha, Chunga kinywa chako, tubu haraka sana. Mungu hatukanwi, hata kama huamini kuwa ndiye but ukaamini hayo aliyatenda yeye then amini pia ukuu wake yakuwa ndiye alikuumba pia na pumzi yako imo mikononi mwake. Bora useme Mungu yupo, usimkute, kuliko kusema hayupo, ukamkuta.
Mungu hapangiwi, hajuti na hana hasara.
 
Ama kweli bora Mungu sio binadamu. Ningekuchapa kofi moja hadi generation yako ya tisa msingekuja kuziona mvi wala sh 50 mkononi.

Tunza akiba ya maneno huwezi kabisa kumtukana Mungu hata uwe unajihisi we ni mjuaji kiasi gani
 
Yani anatukana kama anatukana mlevi bar. Nimeghafirika
 
Yani anatukana kama anatukana mlevi bar. Nimeghafirika
Hata mimi nimeumia mno mkuu utadhani kanitukana mimi. Ila pia nikamwonea huruma huyu mtukanaji, Mungu asingekuwa wa huruma rehema na upendo na asingekuwa Mungu wa utaratibu asiye mwepesi wa hasira, akawa ni Mungu katili kama wanavyodai, huyu mtu angekwishapokea kichapo siku nyingi hata haya matukano yake tusingeyaona hapa.
 
Israel hii ya freemason sio taifa la Mungu
Waashi waliolikataa jiwe (Yesu), limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Mungu aliwachagua Israel kama taifa lake teule, ambalo kwalo aliyaonyesha mataifa mengine ukuu wake ili baadae mataifa yote wamjue, watakao mkubali atakuwa Mungu wao pia. Kuwa Mungu wao nikimaanisha watamwomba, atasikia na kujibu maombi yao.
 
Atafute ile makala inayoelezea kilichowakuta wale waliomdhihaki Mungu.
 
Mimi kinacho nishangaza ni hiyo Israel ya wazungu kuwa katikati ya msitu wa waarabu!.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Waisrael bado hawajarudi. Hao wanaojiita waisrael ni WAHUNi tu.
 
Mimi kinacho nishangaza ni hiyo Israel ya wazungu kuwa katikati ya msitu wa waarabu!.View attachment 2498916

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sababu ni matapeli wala sio wenyewe. Na ndio maana hata wanaishia kujiita waisrael kwa ujumla sababu hawawezi kujilink na kabila lolote Kati ya Yale 12. Na according to bibble bado hawajarudi so wamekaa kiuongo uongo tu.
Maana Kuja Juda, Benjamin na Levi
And Kuna isralites wale 10. Ambao MUNGU kasema atawakusanya "beyond the river of Ethiopia"
Na Yuda ambaye ndio alienda UTUMWANI atamkusanya kutoka "KONA NNE ZA DUNIA"
SWALI
1. Nani alienda kona 4 za Dunia Utumwani
2. Nani anaishi beyond the river of Ethiopia.

Nimakaa pale nasubiri....
 
Ungefafanua labda tukuelewe maana mstari kama umekaa kimafumbo hivi.
Nadhani unajua now Ninani wanajiita "wayahudi" ndio Mungu anasema Hao sio ni sinagogi la shetani..... But wayahudi WA kweli anawajua ingawa Sasa WA naonekana ni masikini but machoni kwake ni matajiri.
So Hao unaowaona hapo Israel ni wayahudi WA kutengeneza aka wayahudi WA Hollywood. But waisrael wenyewe hawajarudi hapo ingawa muda unakaribia watarudi
Sema Shetani kadanganya ulimwengu mzima wakristo tumebaki tukiwaabudu wale jamaa eti ukiwa bariki nawe unabarikiwa....... Mbona Sasa sisi WAafrika ndio tuna shida sana Na kila. Siku tunajiprndekeza kwa Hao waisrael.
 
Duuh!Hatari sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…