Walinyooshewa mkono wa heri,wakamtusi,wakamdhihaki,kifuatacho ITV ni zaidi ya maguUnaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!
Unaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!
Bado Kitambo kidogo mambo yatakuwa wazi kama uchi wa mbuziWalinyooshewa mkono wa heri,wakamtusi,wakamdhihaki,kifuatacho ITV ni zaidi ya magu
hata padri kitima awe macho huyu bibi kashindwa kuficha hisia zake,yeye matango pori anayameza kama yalivyo nchi hii ina wakati mgumu kwa sasa tangu ianzishweUnaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!
Mkuu tiririkaShirika la Ujasusi la Urusi, lilituonya kuhusu Lissu na Kagame Kwamba wanataka ku-destabilize Tanzania. Kwahiyo kaeni kwa kutulia, hata aje CIA au MOSSAD hapa atakalishwa na hatajitikisa
Ford Foundation labda waje na Plan B...hii imeshafeli
Kitima wakimtaka hatoboi hata wikihata padri kitima awe macho huyu bibi kashindwa kuficha hisia zake,yeye matango pori anayameza kama yalivyo nchi hii ina wakati mgumu kwa sasa tangu ianzishwe
Ford foundation ndo waliuwa Watanganyika?Shirika la Ujasusi la Urusi, lilituonya kuhusu Lissu na Kagame Kwamba wanataka ku-destabilize Tanzania. Kwahiyo kaeni kwa kutulia, hata aje CIA au MOSSAD hapa atakalishwa na hatajitikisa
Ford Foundation labda waje na Plan B...hii imeshafeli
Tension ya wapi wewe,unaota, subiri 9D uone wabongo watavyowakataa, halafu atabaki peke yake akishughulikiwaMore anakaa jela ndio tension inakuwa kubwa. Pressure cooker effect.
Tena yuko safe zaidi ya kitaa.
Unyakuliwe umefanya nini?..Salim na kuomba yesu akirudi akunyakue uende nae mbinguniLissu hana chakupoteza alishajua fate yake. Sisi wengine hatujui saa ngapi tutanyakuliwa
😭😭Nmetetemeka sana napata wasiwasi mkubwa wasije wakamuua.hata padri kitima awe macho huyu bibi kashindwa kuficha hisia zake,yeye matango pori anayameza kama yalivyo nchi hii ina wakati mgumu kwa sasa tangu ianzishwe
Mkuu tiririka
Lissu alipewa hizi taarifa mapema, ndio maana amesema yeye hana shida atakaa tu gerezani.Unaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!
Pumbavu zako, kama wanaweza kumtikisa Maduro sembuse taarabuShirika la Ujasusi la Urusi, lilituonya kuhusu Lissu na Kagame Kwamba wanataka ku-destabilize Tanzania. Kwahiyo kaeni kwa kutulia, hata aje CIA au MOSSAD hapa atakalishwa na hatajitikisa
Ford Foundation labda waje na Plan B...hii imeshafeli
Na Dunia nayo itatumia mikakati hiyo hiyo kumtenge, itaanza sadc, eac , au, Halafu wataingia usa river, ngoja wamalize ya Ukraine na Urusi, na DRC na Rwanda , hii ya hapa akimkemea Kidogo Qatar, na UAE na Turkiye kazi imeishaUnaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!
Na kwa hotuba ile ni dhahiri kesi ya Lissu ni shauri la kisiasa ambalo dola imeamua kuitumia Mahakama kumuweka kizuizini. Samia ataumaliza mwendo kwa fedheha kubwa sana.Unaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!