Kwa hotuba ya leo, Tundu Lissu is not going to be released anytime soon! Terrible!

Kwa hotuba ya leo, Tundu Lissu is not going to be released anytime soon! Terrible!

Uhaini ili kuwa ni gear ya kumkamata, ukweli unajulikana kwamba anafahamu yeye na ccm yao hawachaguliki hata jalalani.
Sasa ni vira ya nipige nikupige.
Mliosema hakuua na ahusiki njooni sasa mtueleze.

Mmemuona mwenye ford foundation mliyokuwa mnaisema?

Kaua sasa mtamfanya nini?

Nashauri msisubiri D9 tuanze leo.
 
hata padri kitima awe macho huyu bibi kashindwa kuficha hisia zake,yeye matango pori anayameza kama yalivyo nchi hii ina wakati mgumu kwa sasa tangu ianzishwe
Ni kwel,hata hvyo nashangaa walishamsalimia lakin bado haogopi
 
hata padri kitima awe macho huyu bibi kashindwa kuficha hisia zake,yeye matango pori anayameza kama yalivyo nchi hii ina wakati mgumu kwa sasa tangu ianzishwe
Kanisa kwa ujumla wake haliwezi kutishwa na Ibilisi. Ataishia tu kubweka huko huko nje na wale masheikh wake ubwabwa. Akiligusa Kanisa, hataamini macho yake.
 
Back
Top Bottom