Kwa hotuba ya leo, Tundu Lissu is not going to be released anytime soon! Terrible!

Unaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!
Walinyooshewa mkono wa heri,wakamtusi,wakamdhihaki,kifuatacho ITV ni zaidi ya magu
 
Attachments

  • IMG_20251125_105045_860.jpg
    62.9 KB · Views: 18
Unaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!

Shirika la Ujasusi la Urusi, lilituonya kuhusu Lissu na Kagame Kwamba wanataka ku-destabilize Tanzania. Kwahiyo kaeni kwa kutulia, hata aje CIA au MOSSAD hapa atakalishwa na hatajitikisa

Ford Foundation labda waje na Plan B...hii imeshafeli
 
hata padri kitima awe macho huyu bibi kashindwa kuficha hisia zake,yeye matango pori anayameza kama yalivyo nchi hii ina wakati mgumu kwa sasa tangu ianzishwe
 
Mkuu tiririka
 
Kitima wakimtaka hatoboi hata wiki
 
Reactions: UCD
Shirika la Ujasusi la Urusi, lilituonya kuhusu Lissu na Kagame Kwamba wanataka ku-destabilize Tanzania. Kwahiyo kaeni kwa kutulia, hata aje CIA au MOSSAD hapa atakalishwa na hatajitikisa

Ford Foundation labda waje na Plan B...hii imeshafeli
Ford foundation ndo waliuwa Watanganyika?
Ford foundation ndo waliuza bandari?
Ford foundation ndo wanafisadi hii nchi?
Ford foundation ndo wakusanya Kodi?
Ford foundation ndo wanabambikia watu kesi?
Ford ndo waliiba uchaguzi ?
Ford foundation ndo watekaji?
 
More anakaa jela ndio tension inakuwa kubwa. Pressure cooker effect.
Tena yuko safe zaidi ya kitaa.
Tension ya wapi wewe,unaota, subiri 9D uone wabongo watavyowakataa, halafu atabaki peke yake akishughulikiwa
 
hata padri kitima awe macho huyu bibi kashindwa kuficha hisia zake,yeye matango pori anayameza kama yalivyo nchi hii ina wakati mgumu kwa sasa tangu ianzishwe
😭😭Nmetetemeka sana napata wasiwasi mkubwa wasije wakamuua.
Ingefaa wamtoe pale TEC aende mafichoni.
Viongozi wangu wa kanisa kuweni makini mno hiki kipindi hyu Maza amedhamiria kuwamaliza wakosoaji wake.
 
Shirika la Ujasusi la Urusi, lilituonya kuhusu Lissu na Kagame Kwamba wanataka ku-destabilize Tanzania. Kwahiyo kaeni kwa kutulia, hata aje CIA au MOSSAD hapa atakalishwa na hatajitikisa

Ford Foundation labda waje na Plan B...hii imeshafeli
Pumbavu zako, kama wanaweza kumtikisa Maduro sembuse taarabu
 
Unaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!
Na Dunia nayo itatumia mikakati hiyo hiyo kumtenge, itaanza sadc, eac , au, Halafu wataingia usa river, ngoja wamalize ya Ukraine na Urusi, na DRC na Rwanda , hii ya hapa akimkemea Kidogo Qatar, na UAE na Turkiye kazi imeisha
 
Unaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!
Na kwa hotuba ile ni dhahiri kesi ya Lissu ni shauri la kisiasa ambalo dola imeamua kuitumia Mahakama kumuweka kizuizini. Samia ataumaliza mwendo kwa fedheha kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…