Kwa hukumu ya bwana Hamisi kunyongwa hadi kufa nimejifunza yafuatayo

Ni kweli kunyimana unyuma ni jambo linaloleta msongo wa mawazo
Na wengi huzani ni wanaume tu ndiyo wanaonyimwa, wanasahau wanaume wanakuwa na michepuko wakirudi majumbani wamechoka, na mwishowe wake zao wanakata tamaa, siku akihitaji wanakuta mke alishatoka kwenye mfumo, na ugomvi huamzia hapo na kusahau tatizo lilianzia kwake.
 
Kwani yeye sio mwanamke? Nayeye akishajua mapungufu ya mwinzie naye ataanza kukunyoosha siku ya siku unsjikuta kati unapigwa huku na huku mara pressure hiyo, mke mmoja anakusumbua je hao wawili?
Wakizingua naongeza wa 3 wakizingua tena naongeza wa4
 
Hakunaga mapenzi ya ndoa yanayodumu ya dini mbili tofauti mtadumu tu mwanzoni mkishazoeana kila mtu atataka watoto waende dini yake ndo mgogoro unapooanzia hapo
 
Salha wa mwanza na yule boya lake ndio the same Hamis
 
CUBIRI cOURT OF APPEAL JUDGEMENT....HIZI A hIGH COURT ZIKO FLAUTED IN REASONING ZILIZO NYINGI!
 
Wanawake kinachowaponza ni tamaa na njaa akishiba inbaki tamaa
 

Shikilia hapa Kama basi atakuwa Bado ajakuloga:

“Binafsi mpenzi wangu alikuwa mkristo na nilitamani kubadilisha dini ili nimuoe ila kwa kisa hiki Naona Bora mapema kabisa kupiga chini mana ana jeuri na kiburi na ni mtu anauwezo mkubwa wa kukupanda kichwani na kukupa hasira”
 
Kwamba mshkaji alibadili dini?
 
Dini inahusiana nn sasa mwarabu na mzungu nso walizileta hiyo ni barabara tu ya kukufikisha .....
 
Yule alifunga ndoa ya kikristo hakuna kuachana ,
angepoteza mali zake kweny talaka ...Kikubwa zaidi nasikia jamaa ndiye aliyeanza uzinz na ulevi mpaka kurudi usiku wa manane.

Funzo kubwa : mwanamke akilipiza lazima usande.
HAPO PIA KUNA SABAB ILIYOMFANYA AWE MZINZ NA MLEV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…