Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

Sisi tunataka mtu kama jpm DICTATOR MZALENDO kwanza jpm alikuwa mpole sana hivi mtu kama kikwete alikuwa ni wakuachwa kuishi kweli ...watz tuwe wakweli kwenye ukweli tuseme wazi wazi ....mtu kama singasinga wa pesa za rumbesa ni wakuachwa kuishi kweli ...nape na makamba na familia yake ....mm nampinga jpm kwa upole wake naomba tanzania tupate DICTATOR MZALENDO KWELIKWELI AMBAYE ACHEKI NA WAHUNI HATA SEKUNDE MOJA
 
Mwenyezi Mungu alimwondosha wakati sahihi
 
Wakenya wako smart najaribu kuwaza tu kama wangekuwa hawana kadhia ya ukabila wangekuwa mbali kiasi gani ,naamini wangekuwa 5 bora kiuchumi Africa
Sisi tuko smart zaidi ya wakenya amini nakuambia ndg yangu!
 
Sio lazima uuandike upuuzi wako.
 
Haya yote ya utekaji, kuwapokonya wapinzani fomu, kuambiwa wamekosea kujaza fomu nakadhalika yalifanyika kipindi cha JK ama Rais yeyote mstaafu kabla ya uhuni wa mwaka 2020?

Usiseme ni mfumo wa nchi yetu bali Rais anaweza kutoa amri ya jambo lolote na likafanyika no matter what.

Uchafuzi wa 2020 ni ushamba wa hali ya juu kabisa kuwahi kutokea nchi hii.
 
Huu nao ni ushuzi kama shuzi zingine
 
Subiri Rais aapishwe ndiyo ujuwe mshindi nani!? Hao wa Kenya nawajuwa,hawachelewi kuapishana ma Rais wawili na kila Mtu na kasehemu kake ka utawala!!!!
Bora hata hao wana uhuru wa kuapishana, kwenda mahakamani nakadhalika.

Hapa Danganyika huruhusiwi kwenda mahakamani hata kama Rais kakwapua uchafuzi mzima yeye ndiye mwenye mamlaka hata kama haramu.

Hapa kwetu kujiapisha ni kosa la uhaini. Kenya mtu anajiapisha kama Rais hakuna kosa la uhaini na wametuzidi uchumi.
 
Toba kwa marehemu haisaidii kitu chochote kwani kwa Mujibu wa Bibilia aliyefariki hana historia wala habari yoyote inayoendelea duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…