Mkuu
Rais hashiki silaha za kumuua mtu!
Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!
Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!
Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!
Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!
Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!
Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!