Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

Wa kulaumiwa ni Kikwete aliyeruhusu mwendawazimu agombee na kumsaidia kushinda kwa udanganyifu
 
Mungu akulinde kwa hotuba nzuri uliyotoa,"Mwenye masikio na asikie"
 
Nini unamaanisha mleta mada
 
Lakini wana demokrasia kuliko wewe ona wabunge wa vyama mbali mbali walivyoshinda.
 
Mbona Mkapa na Kikwette hawakufanya UHAYAWANI kama aliyofanya Magufuli kwa Katiba hiyo hiyo? Kuiba mpaka uchaguzi wa vitongoji mwaka 2019 na uchaguzi wote wa wabunge mwaka 2020, ilikuwa ni kielelezo cha UKICHAA wa hali ya juu
Misled by inteligence for national interests!!
 
Nahisi Kama unaongea kinyume chake, ngoja tusubili siku mbili tatu, BABA anazugwa
 
Sisi tuko smart zaidi ya wakenya amini nakuambia ndg yangu!
Usmart Gani? Yaani mpaka magufuri kuwa rais Kuna us mart hapo?

Kenya next level Sasa hivi washindana na Israel, India German au Australia Kwa democrats
 
Kwa aliyafanya JPM, ukoo wake wasitumie jina lake au kujitsmbulisha maana walioumizwa ni wengi.

Hata mie walioniumiza wakati was JPM nitalipiza kisasi tu.

Walinisingizia kesi mbaya lkn nimepona lazima nitalipa tu
 
Pole sana mkuu ukuu wa Mungu ulitukumbusha hata shetani analazwa kwenye jokofu!
Kwa aliyafanya JPM, ukoo wake wasitumie jina lake au kujitsmbulisha maana walioumizwa ni wengi.

Hata mie walioniumiza wakati was JPM nitalipiza kisasi tu.

Walinisingizia kesi mbaya lkn nimepona lazima nitalipa tu
 
CCM wajanja sana,wanajuwa wanawaoongoza wengi mapoyoyo,eti Sasa hivi ubaya wote waliofanya kipindi cha Magu,lawama zote wameamuwa kumtupia Mwendazake ili wao waendelee kudonyowa kibingwa!!!
Huyo aliyenda kuchungulia huko yeye si alifanya 2 huku sasa nini kumlaumu mwendazake? Unazani sahizi uchaguzi utokee utaona kama kutakuwa na jipya zaidi yakuunga mkono tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…