Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu


Maamuzi yao yanaongozwa na ukabila, kwani kuna ubaya gani kama wanajitambua? Hawajamuita JK kwa mantiki ya ubora wake usitake kupotosha, bali wako waangalizi wengi ikiwemo JK na marais wengine wastaafu, huo ni utaratibu wa kawaida kwenye chaguzi za nchi nyingi.

Wazo la uprime minister lilitoka kwetu, kwani Tanzania pekee ndio nchi yenye mfumo wa waziri mkuu? Isitoshe cheo cha waziri mkuu huko kiko ceremonial zaidi na sio kama hapa kwetu.

Sisi sio wastaarabu bali ni makondoo, usichanganye ustaarabu na ukondoo.

Wanatuhitaji kwa sababu za kibiashara, na sio Tanzania tu bali na majirani wao wengine, huku wao wakiwa wafaidika wakubwa wa ushirikiano huo. Tunaipenda nchi yetu lakini sio serikali ya majizi ya kura. Na hiyo haiondoi ukweli kuwa Wakenya they are far better than us.
 

Mbona hapa kuonyeshwa kwenye TV ilikuwa haitakiwi? Kutangaza matokeo kwao kisheria ni ndani ya siku 7, hivyo wako ndani ya muda sahihi wa kisheria.

Kila TV ina matokeo ni yake maana kila mmoja anatoa matokeo kutokana na anavyoyakusanya. Wamebakiza ya wabunge na magavana kwakuwa hayo yameshatangazwa. Wizi gani utatembea, au unatamani wizi ama fujo zitokee ili kuhalalisha ule ukhanithi mnaofanya kwenye chaguzi za hapa nchini?
 
Pamoja na yote hayo ila wana njaa na tunawalisha.

Unamlisha mwenye hela kuliko ww?! Anayelishwa ni yule asiye na hela, Wakenya ndio wanao nunua mazao yetu kwa bei ya juu, na huko hupelekea kuyachakata viwandani kwa matumizi mbalimbali, na sio kwenye kupikia ugali tu kama unavyowaza. Na hata tusipowauzia sisi, kwakuwa wana hela bado watanunua nchi nyingine.
 
Pamoja na yote hayo ila wana njaa na tunawalisha.
Aisee, kweli kuna watu wapo empty kabisa. Tunawalisha, tunawapa Bure ama. Kwa hiyo mkulima kumuuzia mazao tajiri ni kwamba tajiri ananjaa sio. Yaan hv vimazao tukifungua mpaka mwezi mmoja tu tayari tushaanza kulia njaa sisi wenyewe tena? Je tungekuwa kama Ukraine ambayo inauza ngano karibia Africa nzima na haikukosa ngano kwa ajili ya matumizi Yao ingekuwaje? Kutetea Mambo ya kijinga tu
 
Sasa familia imuombee toba kwa lipi?

1. Kitabu kipi or mafundisho ya dini ipi yameelekeza kuzima internet ni dhambi?

2. Kwanini famìlia na si chama cha CCM?

3. Kuzima Internet sio dhambi wala ukiukwaji wa haki muhimu za binadamu.

Tutumie ujana wetu vizuri kwa kufanya kazi za ujenzi wa taifa.

Shukran.
 
Mpaka naondoka duniani magufuli atabaki kuwa moja ya miraisi mibaya sana kuwahi kutokea duniani (post 1945)
 
Wewe ni mpumbavu kuzima intanet maana yake ni kuhalalisha wizi wa kura je wizi sio dhambi? Au haiwezi kuleta machafuko ? Maana kwà kenya hata ikitokea fujo kama maccm mnavyoombea mtu atawajibishwa kwà sheria na kwà haki maana tallying system iko wazi nyie tallying system mnaicorupt ili muibe mbwa kabisa nyie!
 

Can you name any person who had been convicted for their involvement in post election violence?

I am waiting....😌
 
We have no choice but to sit down with the devil on the negotiation table to strike a deal for his extradition back to earth and face all charges and atrocities he committed against Tanzanians and humanity from Murder, extortion, rape, sodomy, homicide, terrorism, fraud, robbery, corruption, arson, man slaughter, female genital mutilation (FGM) the list is long...
 
Wewe na ujanja wako umefanya nini cha maana zaidi sana ya kula na kujamber.
 
Rudia kusoma ulichoandika leo. Uone kama iko vzr au u editi. Hadi sasa
1. Local Tv zimezuiwa kuripoti
2. Computer imeingizwa chumba cha uchaguzi ki aina
3. Mjumbe wa Tume kapotea
4. Miguna anaripoti IT toka nchi jirani wanafanya ujasusi wa wizi waliletwa na serkali ya Kunywa
5. Sasa janja janja imeanza
Mwisho ni blood shed za kikabila na kikanda
 

hayo yote aliyafanya,na wewe unamzidi dhambi kwa yako moja tu,kuliwa na wanaume wenzako.

kazana kujiombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…