Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

Wakenya ni watu maskini sana ukifanya comparison na watanzania.

Demokrasia hiyo unayoiona wewe walijifunza kwetu baada ya kuuana sana kila chaguzi.

halafu watu huwa wanapinga matokeo na sio uchaguzi.

Ngoja kwanza wamalize mchakato wote mpaka kuapishwa kwa Rais wao ndio uwapongeze.
Pumbav demorasia ya nioko , Tanzania hii ? ,kama Huna cha kuandika Bora ukae kimya mbw@ we
 
Pale
Mbona wakati wa BM au JK watu hawakupigwa risasi hadharani na uchunguzi kutokufanywa? Mbona hakukuwa na kupotea wasio waunga mkono? Mbona watu hawakuporwa pesa zao bank?
Usimtetee JPM hata kidogo, yeye ndio mpishi wa tabia za kikatili chini ya kivuli cha katiba kumruhusu.
Nyerere alipata sema hii katiba likiingia jitu ovu ndio tutajua ni mbovu
Pale Raia anapoenda kinyume na matarajio ya waliomweka anatafutiwa sababu za kuchukiwa ILI wapate Baraka za kutokuwa na imani nae!!hivyo tu!!
 
Mkuu

Rais hashiki silaha za kumuua mtu!

Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!

Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!

Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!

Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!

Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!

Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Kama tatizo halikuwa magufuli mbona baada ya yeye kufa yale matukio hatuyasikii Tena?
 
Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.

Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.

Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.

Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.

Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.

Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.

Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!

Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.

Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
Kwa huu uchguzi wa Kenya ulivyo poa, na hayo aliyoyafanya ambayo ni ufisadi wa moyo, aungue abaki majivu huko aliko!
 
Pumbav demorasia ya nioko , Tanzania hii ? ,kama Huna cha kuandika Bora ukae kimya mbw@ we
Tanzania is a blessed country East and Central Africa.

Tunakimbiza Afrika na Dunia kwa ujumla.
 
Uchaguzi kuoyeshwa kwenye Tv haimanishi ni wa haki na huru, ni njia ambayo Kenya hutumia kuwachota akili watu wajionee kuwa huu ni uchaguzi huru kumbe sio, leo ni siku ya nne hakuna results wana zunguka tu , hata IEBC yenyewe ina ona ni moto haijui ifanye nini, kama ni huru kwa nini kila TV ina matokeo yake na mgombea wake mfukoni, kwa aibu hiyo wameondoa matokeo ya urais katika vituo vyote vya Tv na kubakiza porojo za wabunge na magavana, hiyo inaashiria nini? hapo sasa ndo wizi utatembea , yaani Africa kuwa na uchaguzi huru ni ngoma nzito.
 
Mkuu

Rais hashiki silaha za kumuua mtu!

Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!

Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!

Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!

Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!

Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!

Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Marais waliomtangulia hivyo vitengo vya usalama havikuwepo?
Why viwe active wakati wake?
Huna hoja ficha trako
 
Mkuu

Rais hashiki silaha za kumuua mtu!

Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!

Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!

Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!

Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!

Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!

Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Mbona Mkapa na Kikwette hawakufanya UHAYAWANI kama aliyofanya Magufuli kwa Katiba hiyo hiyo? Kuiba mpaka uchaguzi wa vitongoji mwaka 2019 na uchaguzi wote wa wabunge mwaka 2020, ilikuwa ni kielelezo cha UKICHAA wa hali ya juu
 
Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.

Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.

Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.

Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.

Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.

Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.

Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!

Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.

Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
Acheni wakenya wafurahie mavuno ya waliyoyatafuta kwa jasho,damu na hata kifo ilipo bidii ili tu kupata katiba mpya na tume huru kwelikweli, Sasa wabongo haya hatuyawezi acha kijani watunyonye damu mpaka mbavu zitutoke
 
Uchaguzi kuoyeshwa kwenye Tv haimanishi ni wa haki na huru, ni njia ambayo Kenya hutumia kuwachota akili watu wajionee kuwa huu ni uchaguzi huru kumbe sio, leo ni siku ya nne hakuna results wana zunguka tu , hata IEBC yenyewe ina ona ni moto haijui ifanye nini, kama ni huru kwa nini kila TV ina matokeo yake na mgombea wake mfukoni, kwa aibu hiyo wameondoa matokeo ya urais katika vituo vyote vya Tv na kubakiza porojo za wabunge na magavana, hiyo inaashiria nini? hapo sasa ndo wizi utatembea , yaani Africa kuwa na uchaguzi huru ni ngoma nzito.
Wakenya wezi sana na wana mbinu hapo wanatuzuga kumbe chini ya kapeti michezo michafu inaendelea.

Uhuru kamuunga mkono Raila kwakua hamuamini Ruto.

Hana uhakika Ruto akishika nchi atamfanya nini.

Hivyo kinachoendelea sasa ni mipango ya wizi wa kura.
 
Wakenya ni watu maskini sana ukifanya comparison na watanzania.

Demokrasia hiyo unayoiona wewe walijifunza kwetu baada ya kuuana sana kila chaguzi.

halafu watu huwa wanapinga matokeo na sio uchaguzi.

Ngoja kwanza wamalize mchakato wote mpaka kuapishwa kwa Rais wao ndio uwapongeze.
Nimecheka kwa nguvu, eti demokrasia walijifunza kwetu. Hizi siasa za kikondoo ndio Wakenya watuige? Sisi kwetu Tanzania kuanzia uchaguzi mpaka matokeo ni uhayawani mtupu. Na kwa taarifa yako wakenya wanatudharau sana toka zamani maana wanajua sisi ni maiti hai. Ccm wako wanaomba usiku na mchana kenya yatokee machafuko ili wapate mahali ya kufichia aibu.
 
Back
Top Bottom