ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufanye Nchi imeuzwa.Sasa kama imekuwa na pesa zinaleta maendeleo Kwa Nchi Kuna tatizo gani?👇👇Swali la kujiuliza kwanza
Hizo pesa kazipataje?
Je zimeizinishwa na bunge?
Msikute Nchi imeuzwa kinyemela
Nyie mnashangilia
Usikute ni mikopo kausha damu
Nyie mnashangilia
Tuonyeshwe ilivyopita bungeni kwanza
Tufanye Nchi imeuzwa.Sasa kama imekuwa na pesa zinaleta maendeleo Kwa Nchi Kuna tatizo gani?👇👇
View: https://youtu.be/IKP5NgpoqI8?si=GI9MAPx21D0u4Pa7
View: https://youtu.be/cjIACkwgKKs?si=QR6arg7VX9AtMz8H
Kwa SSH Kila goti litapigwa Kwa shangwe na shujrani.
Mwanza wameanza,wanajiukiza mama amewezaje na Shujaa alishindwa? 👇👇
View: https://youtu.be/vvwb5guONc0?si=yqAXhviiZ0iCwIuQ
Miradi ya Magufuli huko Mwanza 😂😂😂👇👇Ina maana hakuna kabisa miradi ya maana aliyoanzisha hadi mmeamua kumsakizia miradi ya JPM!! 😂😂😂
Stand JPM, Soko kuu JPM, Meli JPM. Lakini amejenga shule pale buzuruga kwa pesa za corona Tsh 400 milion si mpost hiyo, au mmeona ni mradi mbuzi!😃😃
Pesa zilikuwepo Toka mwaka gani?Soko limebomolewa enza za JPM na pesa zake zilikuwepo, limecheleweshwa sana na angekuwepo lingekuwa lishamalizika zamaaani.
Miradi ya Magufuli huko Mwanza 😂😂😂👇👇
View: https://youtu.be/isLJaRZjRNA?si=UHKI7bep3S2dmz3t
View attachment 3131760
Mwisho shule ziko nyingi sana tena za Magorofa achana na hizo za chini kama hii ya Simiyu hapa 👇👇
View: https://youtu.be/OkJ4udjr36E?si=_9Mvb-VLt9ZS_Aqq
View attachment 3131770
Alibomoa, wakati ujenzi unataka kuanza Mungu akamuita, toka hapo kila kitu kikasimama.Pesa zilikuwepo Toka mwaka gani?
Baada ya kubomolewa enzi ya JPM lilikuwa linasubiria nini kujengwa wakati pesa ipo? 😂😂
Yaani amalize ambalo liko kwenye makaratasi wakati Yale yaliyokuwa yanaendelea na ujenzi alishindwa kuyamaliza likiwemo soko kuu la Mjini?
Nahojiana na mtu aliyebeba kichwa kama pambo 😁😁
Watasema hata Bugando kaongeza gorofa!!Hakuna jipya, JPM alijenga wodi ya wanaume hapohapo, angalia picha ya kwanza,
afu akashusha mjengo pale sekou toure. alete jambo jipya kama SGR, Flyover, Stand za mabasi za kisasa, Masoko ya kisasa, hospitali na shule zimejengwa toka enzi za mwalimu na hakuna rais ambaye hajajenga. kwa kifupi hana jipya.
Kwa hiyo alikufa na pesa au? Kwa nini alishindwa kukamilisha miradi ambayo ilikuwa imeshaanza Hadi asubirie huo mwingine? Mfano Soko kuu,stendi zote 2,mradi wa Maji Butimba nk?Alibomoa, wakati ujenzi unataka kuanza Mungu akamuita, toka hapo kila kitu kikasimama.
Kama limeongezwa basi ni kazi ya Mama hiyo.Watasema hata Bugando kaongeza gorofa!!
Chawa akili hamnazo kabisa
Kwanza wewe ni mjinga na mpumbavu,video ni hospital ya Ilemela wewe unaweka picha za hospital ya Mkoa ambayo sio mada hapa.Hakuna jipya, JPM alijenga wodi ya wanaume hapohapo, angalia picha ya kwanza,
afu akashusha mjengo pale sekou toure. alete jambo jipya kama SGR, Flyover, Stand za mabasi za kisasa, Masoko ya kisasa, hospitali na shule zimejengwa toka enzi za mwalimu na hakuna rais ambaye hajajenga, lakini SGR, FlyOver, Stand kama za nyegezi, magufuli, Nanenane, Nyamhongolo,nk hazijawahi kuwepo kabla ya JPM. kwa kifupi hana jipya.
Wewe mwenye akili Tuoneshe shule za magorofa mlizojengea awamu ya vuvuzelaWatasema hata Bugando kaongeza gorofa!!
Chawa akili hamnazo kabisa
Pale Bugando kuna jengo la wagonjwa wa cancer lilijegwa enzi za JPM, chawa wakiliona watalipiga picha na kulipost wakisema mama anaupiga mwingi.Watasema hata Bugando kaongeza gorofa!!
Chawa akili hamnazo kabisa