Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chuo Cha Mipango Kampasi ya Mwanza,Magu 👇👇

View: https://youtu.be/_EQ8nl2LYck?si=PGYSAPQtVyPL3_D_
Screenshot_20241021-112918.jpg
Screenshot_20241021-112617.jpg
 
Swali la kujiuliza kwanza

Hizo pesa kazipataje?

Je zimeizinishwa na bunge?

Msikute Nchi imeuzwa kinyemela
Nyie mnashangilia

Usikute ni mikopo kausha damu
Nyie mnashangilia

Tuonyeshwe ilivyopita bungeni kwanza
 
Kwa SSH Kila goti litapigwa Kwa shangwe na shujrani.

Mwanza wameanza,wanajiukiza mama amewezaje na Shujaa alishindwa? 👇👇

View: https://youtu.be/vvwb5guONc0?si=yqAXhviiZ0iCwIuQ

Ina maana hakuna kabisa miradi ya maana aliyoanzisha hadi mmeamua kumsakizia miradi ya JPM!! 😂😂😂
Stand JPM, Soko kuu JPM, Meli JPM. Lakini amejenga shule pale buzuruga kwa pesa za corona Tsh 400 milion si mpost hiyo, au mmeona ni mradi mbuzi!😃😃
 
Miradi ya Magufuli huko Mwanza 😂😂😂👇👇

View: https://youtu.be/isLJaRZjRNA?si=UHKI7bep3S2dmz3t
Screenshot_20241021-183443.jpg

Mwisho shule ziko nyingi sana tena za Magorofa achana na hizo za chini kama hii ya Mkoa wa Mwanza Iko Magu 👇👇

View: https://youtu.be/2yOWQXjEOeE?si=esQrXcWm7RDE6BFM
Screenshot_20241021-184447.jpg
 
Soko limebomolewa enza za JPM na pesa zake zilikuwepo, limecheleweshwa sana na angekuwepo lingekuwa lishamalizika zamaaani.
Pesa zilikuwepo Toka mwaka gani?

Baada ya kubomolewa enzi ya JPM lilikuwa linasubiria nini kujengwa wakati pesa ipo? 😂😂

Yaani amalize ambalo liko kwenye makaratasi wakati Yale yaliyokuwa yanaendelea na ujenzi alishindwa kuyamaliza likiwemo soko kuu la Mjini?

Nahojiana na mtu aliyebeba kichwa kama pambo 😁😁
 
Miradi ya Magufuli huko Mwanza 😂😂😂👇👇

View: https://youtu.be/isLJaRZjRNA?si=UHKI7bep3S2dmz3t
View attachment 3131760

Mwisho shule ziko nyingi sana tena za Magorofa achana na hizo za chini kama hii ya Simiyu hapa 👇👇

View: https://youtu.be/OkJ4udjr36E?si=_9Mvb-VLt9ZS_Aqq
View attachment 3131770

Hakuna jipya, JPM alijenga wodi ya wanaume hapohapo, angalia picha ya kwanza,
afu akashusha mjengo pale sekou toure. alete jambo jipya kama SGR, Flyover, Stand za mabasi za kisasa, Masoko ya kisasa, hospitali na shule zimejengwa toka enzi za mwalimu na hakuna rais ambaye hajajenga, lakini SGR, FlyOver, Stand kama za nyegezi, magufuli, Nanenane, Nyamhongolo,nk hazijawahi kuwepo kabla ya JPM. kwa kifupi hana jipya.
 
Attachments

  • 6.jpg
    6.jpg
    140.2 KB · Views: 2
  • images.jpg
    images.jpg
    70.3 KB · Views: 2
  • images-1.jpg
    images-1.jpg
    47.1 KB · Views: 1
Pesa zilikuwepo Toka mwaka gani?

Baada ya kubomolewa enzi ya JPM lilikuwa linasubiria nini kujengwa wakati pesa ipo? 😂😂

Yaani amalize ambalo liko kwenye makaratasi wakati Yale yaliyokuwa yanaendelea na ujenzi alishindwa kuyamaliza likiwemo soko kuu la Mjini?

Nahojiana na mtu aliyebeba kichwa kama pambo 😁😁
Alibomoa, wakati ujenzi unataka kuanza Mungu akamuita, toka hapo kila kitu kikasimama.
 
Hakuna jipya, JPM alijenga wodi ya wanaume hapohapo, angalia picha ya kwanza,
afu akashusha mjengo pale sekou toure. alete jambo jipya kama SGR, Flyover, Stand za mabasi za kisasa, Masoko ya kisasa, hospitali na shule zimejengwa toka enzi za mwalimu na hakuna rais ambaye hajajenga. kwa kifupi hana jipya.
Watasema hata Bugando kaongeza gorofa!!

Chawa akili hamnazo kabisa
 
Alibomoa, wakati ujenzi unataka kuanza Mungu akamuita, toka hapo kila kitu kikasimama.
Kwa hiyo alikufa na pesa au? Kwa nini alishindwa kukamilisha miradi ambayo ilikuwa imeshaanza Hadi asubirie huo mwingine? Mfano Soko kuu,stendi zote 2,mradi wa Maji Butimba nk?

Au miaka 6 alikuwa anafanya nini hapo Mwanza?
 
Hakuna jipya, JPM alijenga wodi ya wanaume hapohapo, angalia picha ya kwanza,
afu akashusha mjengo pale sekou toure. alete jambo jipya kama SGR, Flyover, Stand za mabasi za kisasa, Masoko ya kisasa, hospitali na shule zimejengwa toka enzi za mwalimu na hakuna rais ambaye hajajenga, lakini SGR, FlyOver, Stand kama za nyegezi, magufuli, Nanenane, Nyamhongolo,nk hazijawahi kuwepo kabla ya JPM. kwa kifupi hana jipya.
Kwanza wewe ni mjinga na mpumbavu,video ni hospital ya Ilemela wewe unaweka picha za hospital ya Mkoa ambayo sio mada hapa.

Haya kama alijenga Hako kawodi kamoja utamlinganisha na Samia aliyejenga Hospyza Wilaya zote huko Mwanza?

Utamlinganisha na Samia ambae anajenga Haspitali Mpya ya Rufaa ngazi ya Mkoa Ukerewe?

Mwisho vyote ulivyoorodhesha hapo hakuna hata kimoja alikamilisha yaani miaka 6 alikamilisha nini sasa maana hata Hilo Jengo la Hospital ya Mkoa amemalizia Samia.

Kiufupi Shujaa wenu alikuwa vuvuzela ila hakuna tangible Cha kuonesha alichokamilieh ahapp Mwanza Kwa miaka yote aloyokuwa Rais.

Mara shule zilikuwa zinajengwa miaka yote zioneshe hapa za Samia nimekuonesha na zingine hizi hapa 👇👇

View: https://youtu.be/sfn6OAXFZr0?si=91NL-nEpl4527YJ-

View: https://youtu.be/z22fxuMt2Mo?si=QMjxqMhmbTZNcHSI
 
Watasema hata Bugando kaongeza gorofa!!

Chawa akili hamnazo kabisa
Pale Bugando kuna jengo la wagonjwa wa cancer lilijegwa enzi za JPM, chawa wakiliona watalipiga picha na kulipost wakisema mama anaupiga mwingi.
 
Attachments

  • images-2.jpg
    images-2.jpg
    51.8 KB · Views: 2
  • images-3.jpg
    images-3.jpg
    38.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom