Hata mgombea wao (chadema) amekaa kimajungu majungu na ugomvi tu badala ya kueneza sera za chama chake amekalia kulalamika tu. Tangu lini matatizo yakatatuliwa kwa kulalamika? Tunataka atuambie atamfanyia nini mama Tanzania na kwa mkakati upi siyo kulalamika kama mtoto mdogo.Tunakuhakikishia CCM tunashinda vizuriiii bila hata upinzani wa kibwegeee bwege
Hakika umenena, LISSU hana jipya zaidi ya kulialia na kulalamika tu, baada ya kujikita kwenye sera amejikita kumkejeli Magufuli, kwa mtindo huu, hata nafas ya pili Anaweza akaisikia kwenye bomba, halfu ukweli usemwe CHADEMA IKO MITANDAONI TU, lkn mtaani Magu ana wafuasi wengi sanaHata mgombea wao (chadema) amekaa kimajungu majungu na ugomvi tu badala ya kueneza sera za chama chake amekalia kulalamika tu. Tangu lini matatizo yakatatuliwa kwa kulalamika? Tunataka atuambie atamfanyia nini mama Tanzania na kwa mkakati upi siyo kulalamika kama mtoto mdogo.
Kwa bongo ni ngumu sanasubiria utamjua
yahaya jameih alimiliki kila kitu kuanzia tume na kura zenyewe lakini tume hio hio ikamtangaza Barrow mshindi.Anga likishakukataa limekukataa
ccm 2020 sio ya kubetia mkeka wako chana kabisa utaliaWe jamaa CCM imeishashinda tayari tunachokitafuta ni kuhakikisha ushindi unakuwa ushindi wa kishindo yaani Kuanzia 95% na kuendelea.
Labda aende ikulu ya sultani kimweri ilioko vuga,lushotoMimi nimesema mwaka huu liwe jiwe iwe mvua Lissu anaenda Ikulu na namshauri asilipize visasi kwa watesi wake.
Halafu nyie chadomo mnashida gani??? Unalalamikaje kabla ya upigaji kura na kuhesabu hakujafanyika mkikamatwa kwa kusababisha taharuki na kutishia amani ya nchi mntaanza kulialia.Mwaka huu ni 95% ushindi kwa magufuli andikeni hii kwenye diary zenu mburura nyieBila kupenda au kutokupenda watatangaza hakuna option this time sisi ndio wenye Nchi yetu bhana
Ngumu wa kuelewa mwakahuu zinapigwa kura za wazi nguu kwa nguu hadi ikulu hii nchi sio mali ya ccm mtaelewa ngoja muda ufikeOlewenu tuje tusikie mnalalama habari ya tume huru
Amani iwe nanyi wadau!
Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania Dream”
Ni dhahili pia kuwa baada ya sera za kijamaa za CCM zilizotufanya kuwa mafukara kwa karibu miaka 59 tangu uhuru sasa zimepata Sera mbadala za kutukomboa kweli na kuleta ustawi sahihi kwenye nchi yetu. Sera hizi ni za uchumi huru wa kuruhusu sekta binafsi kuendesha uchumi wa nchi
Ni dhahili pia kuwa baada ya miaka 59 ya kutawaliwa huku tukilishwa ujinga na upumbavu na CCM sasa nchi yetu inaenda kuwekewa mfumo sahihi wa maendeleo utakaofanya kila sehemu kuwa na maendeleo no matter kiongozi wa iyo sehemu anatoka Chama gani
Kusema kweli nimeshawishiwa na hizi Sera za Chadema, Nimeshawishiwa na Mgombea wa Chadema Tundu Antipas Lissu.
Dawa ya umasikini na ujinga wa watanzania sasa imepatikana rasmi.
Hongereni sana Chadema.
SASA NI RASMI, Tumepata “TANZANIA DREAM”
View attachment 1531816View attachment 1531817View attachment 1531818View attachment 1531819View attachment 1531820View attachment 1531821
Vice versa is true. Wafuasi wa CCM hamtaamini historia inayoenda kuandikwa Tanzania hapo October 2020. Amini amini nakwambiaKuna wafuasi wa Lisu ikifia oktoba wanaweza kujinyonga
Kulinda kura ni kuhatarisha usalama wa CCM au usalama wa Taifa. Subirini tu ndugu. Mtajua hamjui mwaka huu!Halafu nyie chadomo mnashida gani??? Unalalamikaje kabla ya upigaji kura na kuhesabu hakujafanyika mkikamatwa kwa kusababisha taharuki na kutishia amani ya nchi mntaanza kulialia.Mwaka huu ni 95% ushindi kwa magufuli andikeni hii kwenye diary zenu mburura nyie
Umejua 95%Halafu nyie chadomo mnashida gani??? Unalalamikaje kabla ya upigaji kura na kuhesabu hakujafanyika mkikamatwa kwa kusababisha taharuki na kutishia amani ya nchi mntaanza kulialia.Mwaka huu ni 95% ushindi kwa magufuli andikeni hii kwenye diary zenu mburura nyie
Tukutane October 2020Labda aende ikulu ya sultani kimweri ilioko vuga,lushoto
Historia iliyoandikwa Malawi mwaka huu unaenda kuandikwa rasmi Tanzania hapo October mwaka huu!We jamaa CCM imeishashinda tayari tunachokitafuta ni kuhakikisha ushindi unakuwa ushindi wa kishindo yaani Kuanzia 95% na kuendelea.
Kwani Bongo ni mbinguni??? Amini amini nakwambia, Tundu Antipas Lissu ndo raisi wako kuanzia October 2020!Kwa bongo ni ngumu sana
Mlisema tarehe 27/7/2020 Lissu atapokew mtandaoni ila salamu mlizipata. Unazungumzia Sera kwani huu uzi uliochangia humu unahusu Sera za nani??? Hizo ndo sera za Lissu na hizi ndo Sera za Chadema!!Hakika umenena, LISSU hana jipya zaidi ya kulialia na kulalamika tu, baada ya kujikita kwenye sera amejikita kumkejeli Magufuli, kwa mtindo huu, hata nafas ya pili Anaweza akaisikia kwenye bomba, halfu ukweli usemwe CHADEMA IKO MITANDAONI TU, lkn mtaani Magu ana wafuasi wengi sana
Unasema unataka aseme atafanyia nini taifa kwani huu uzi unahusu Sera za Nani????Hata mgombea wao (chadema) amekaa kimajungu majungu na ugomvi tu badala ya kueneza sera za chama chake amekalia kulalamika tu. Tangu lini matatizo yakatatuliwa kwa kulalamika? Tunataka atuambie atamfanyia nini mama Tanzania na kwa mkakati upi siyo kulalamika kama mtoto mdogo.