Kwa jambo hili nipo sawa?

Kwa jambo hili nipo sawa?

mbuyake

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
293
Reaction score
510
Kuna jamaa tulifanya biashara ya kumuzia tovuti ya biashara. Alitanguliza nusu ya malipo, lakini alipoenda kumalizia, akaghairi na kuhitaji hela zake. Kiukweli, niliuza tovuti hiyo kwa sababu ya shida, nikamwambia sina hela hadi nitafute, na nitamrudishia bila ya kukata gharama ya usumbufu.

Niliahidi kumpa nusu ya Shilingi 300,000 mwezi huu na kumalizia mwezi ujao. Kabla ya siku iliyopangwa, nilimpa Shilingi 100,000 na tulipoenda kwa balozi kuandikiana, tulifanya hivyo.

Sasa tarehe ya kumpa Shilingi 50,000 imefika, na amekuwa kero akituma vitisho hadi nimeghadhabika jioni hii. Amefikia hatua ya kuleta mganga akidai anaonyesha ofisi yangu.

Je, unanishauri vipi kuhusu huyu jamaa?
 
Hao ni waswahili, Hela kwao ndo kipaumbele Cha msingi wewe nenda serikali za MTAA au hata polisi katoe taarifaa kuwa anakufnyia vitisho
 
Mkate kidevu.
NB;Kaeni chini muweke mambo yenu sawa.Badili kabisa na jina uitwe Mbuyane ili ajue upo makini.
 
Back
Top Bottom