Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Yan wewe hii inshu imekutouch sana ama kuna mengine behind the scene?
Seems You're totally concerned.
Yes I am totally concerned. So what? Halafu hata sijakumention hapo.
Ofkoz nafahamu na nimeona comments kule kwenye uzi wa ndizmshale umemtetea (kiaina) huyu baharia wa Jeneva. So hata hapa sikushangai, una haki ya kuwashwa kuhusu hili saga.
Sasa umenipa fursa ya kukuuliza.... Why unaumia huyu Parabora kuanikwa wazi? Are you partially or totally engaged?
-Kaveli-