Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa

Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa

Yan wewe hii inshu imekutouch sana ama kuna mengine behind the scene?
Seems You're totally concerned.

Yes I am totally concerned. So what? Halafu hata sijakumention hapo.

Ofkoz nafahamu na nimeona comments kule kwenye uzi wa ndizmshale umemtetea (kiaina) huyu baharia wa Jeneva. So hata hapa sikushangai, una haki ya kuwashwa kuhusu hili saga.

Sasa umenipa fursa ya kukuuliza.... Why unaumia huyu Parabora kuanikwa wazi? Are you partially or totally engaged?

-Kaveli-
 
Henu nitue mkuu..had unaboa...mbona wenhi tu wametetea iweje mimi tu likuume? Una shida gani na mimi wewe? Had umesema mie ni genge moja nikasema ndiyo genge moja ufurahi...ina maana hizo id zingine zilizotetea wewe tu umeguswa na mimi!! Hebu relax mkuu..nature haitak hivyo utapata magonjwa buree...! Hebu kuwa wakiume basi!

Ofkoz lengo langu kuu ni kukuboa to the fullest! Eventually you have at least now crepted in the bright light at end of the tunnel.

Ulimtetea huyo mduwanzi on a serious note with highest level of consciousness! Yaani yeyote aliyesoma zile comments zako alijua fika kuwa you are part of the guy's package.

You are unable to prove my gender in this virtual ground space!

This is cyber world.

hujui sababu???
kwa sababu wewe unajifanyaga much know, kila kitu unakijua chocho zote za maisha wazijua,
 
Ofkoz lengo langu kuu ni kukuboa to the fullest! Eventually you have at least now crepted in the bright light at end of the tunnel.

Ulimtetea huyo mduwanzi on a serious note with highest level of consciousness! Yaani yeyote aliyesoma zile comments zako alijua fika kuwa you are part of the guy's package.

You are unable to prove my gender in this virtual ground space!

This is cyber world.

-Kaveli-

Nadhani leo utalala vizuri sana! Bahati nbaya au unajitoa ifahamu huelewi waliotetea walitetea kwa angle gan! Mie nilimtetea kwa angle nyingine kabisa tena kuna comment niliamwamboa kama ulikua umepanga kutapeli bas jua leo zimefika 40zako.. Kama hukua na nia hiyo bas piga kimya!

Mie nilimtetetea only tht he is positive ! Kama kuna mazuri aliyasema kwanini uusichukue hayo ukasepa!?...pia kuna watu wakiongea uongo wanajikuta wanaamani moyoni mwao kumbe jamaa yuko mabwepande hapo..sasa wewe nini inakusimbia kama mtu akidanganya?ingeleta uzito kama kuna watu wangejitokeza pm na kusema huyu jamaa alisema nimtumie hela kwa suala hili na hili..hakuna alojitokeza sasa ya nini kushupaza shingo?

Humu jf hakuna asiyejua kuna matapeli konky hakuna! Inakuaje utapeliwe kisa unataka kuzamia?...bas kama kweli ametapeli nikakiambia mie naachana na haya..kuna jamaa asbh aliandika same kama nilichoandika mbona hujaendelea kumuattack?au kuna mengine zaidi ya haya? Hebu kuwa kama mwanaume!..kama nimeharibu kumtetea haijalishi unitwike stress zako..pambana kivyako! Sitakujibu tena na mpira nilisharudisha toka asbh nashangaa unahangaika na mimi !...lol...hebu soma comments zangu uone kama nashoboka kama wewe
 
Kuna muda ukiwa humu JF unaweza ukahisi maisha mabovu unayo wewe tu. Maana utakutana na watu wanazungumzia maisha ya Ulaya na Marekani au wanamiliki magari makali kama nguo au wamejenga na kuishi kwenye nyumba kali Dar, halafu wote wana kazi za maana na uhakika. Kumbe choka mbaya.
 
Ili wakuone nuksi fanya upate mkongo mkuu/Kongo dust,mundende ama mkweati...... Utawakomesha mpaka ukirudi siku nyingine hutaruhusiwa kuingia
 
Henu nitue mkuu..had unaboa...mbona wenhi tu wametetea iweje mimi tu likuume? Una shida gani na mimi wewe? Had umesema mie ni genge moja nikasema ndiyo genge moja ufurahi...ina maana hizo id zingine zilizotetea wewe tu umeguswa na mimi!! Hebu relax mkuu..nature haitak hivyo utapata magonjwa buree...! Hebu kuwa wakiume basi!
Hhuuu [emoji7][emoji7]
Ni vile umefunga PM Nina ujumbe wako
Kutoka kwangu[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofkoz lengo langu kuu ni kukuboa to the fullest! Eventually you have at least now crepted in the bright light at end of the tunnel.

Ulimtetea huyo mduwanzi on a serious note with highest level of consciousness! Yaani yeyote aliyesoma zile comments zako alijua fika kuwa you are part of the guy's package.

You are unable to prove my gender in this virtual ground space!

This is cyber world.

-Kaveli-

Sikuwahi kujua upo mbishi hivii [emoji40]🤣 mtuache tumefunga jamani huku Canada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuwahi kujua upo mbishi hivii [emoji40]🤣 mtuache tumefunga jamani huku Canada

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Dina, baharia Ndizmshale yeye 'alibetua stuli' akamaliza kazi yake.

Kitanzi kikabaki mikononi mwa Team Roho Mbaya kuwapaka mkorogo wa 'upupu' mixer 'pilipili mbuzi' wakora wote waliotuchomesha mahindi ya Jeneva.

"Mrongo na Mlozi ni watu wa kuchoma"... alisikika mswizi mmoja wa Keko Magurumbasi.

BTW... Huko Canada mnapiga nyungu pia sanjari na lokudawuni?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom