Kwa jinsi nilivyoharisha leo, natangaza kuacha pombe aisee

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
 
Ha ha ha haaaaaa! Umeharisha kama mnyama Fungo? Ni zile nyama zenu watu wa Dar za ngozi ya ng'ombe!
 
Back
Top Bottom