MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kaka,ebu tupe mabadiliko mazuri uliyoyaona kipindi hiki?Alcohol free since January 1 2024.
Zimua kwa K-Vant.Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
kunywa pombe za kienyeji man!! wazungu hawatupendi,,,,,shauri yako!!!...mimi nakunywa mnazi na pombe ya warioba!!Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
Rachel,nitafute nikununulie mnazi!!Mimi ndo nimeanza pombe mwaka huu
Naona sasa umekuwa Pro, advocate mzuri wa pombe🤣Pombe inasingiziwa sana. Mtu kafakamia mangararimo yake huko, then anakwenda kuisingizia pombe🙆♂️🙆♂️🙆♂️
pombe ni nzuri baada kufa,kwani kuna vijito 7 vikimiminisha pombe huko mbinguni,unakula mtungi alaf ukirudi home unachagua bikra mmoja kati ya 70 uliopewa alaf unatoa upwiru!!Siku zote tunawambia pombe haifai hamsikiii
Hakika na hili Mimi ni mmoja wao .Watu wengi hawasomi hata mda wa kuharibika kwenywe vinywaji ,wao ni kubugia tu hasa bia
Hata kabla ya hapo nilikuwa ninepunguza sana, kwa hiyo sikuona mabadiliki makubwa kwa wakati mmoja.Safi kaka,ebu tupe mabadiliko mazuri uliyoyaona kipindi hiki?
Mimi napenda vinywaji vitamu vitamu hivyo napendelea kunywa nusu kreti ya flying fish hivyo majuma kadhaa nilijaaliwa hela Fulani ,nikaamua nisinywe ulanzi ikabidi nikabadili ladha ni huko nilipatwa na tumbo la kuhara baada ya usiku ule .Kuna mtu kama wiki 2 zimepita nimemsikia akilalamika kuharisha baada ya kunywa Bia sasa sijui za ndania au nje ya nchi...
Unaacha kwa jitihada za nani?Jidanganye huwezi kuacha pombe kwa jitihada zako pekee