Kwa jinsi nilivyoharisha leo, natangaza kuacha pombe aisee

Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
Bado ww ni mdogo
 
Ni stori ndefu mkuu, kiufupi nilizifakamia bila kula. kvant mixer B&W mixer Desperado mixer Kili Lager mixer Cocktails n.k.n.k

You can imagine
Duh,ilikuaje mpaka ukamix hivyo vyote?
 
Acheni ulevi wapwa , tangu niache pombe mimi nakunywa bia mbili tatu baaaasi. Sipotei nyumbani tena na wala silali mtaroni tena, hata kuanguka barabarani haipo tena[emoji1732]
Umeacha pombe tena bado unakunywa bia?
 
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
😂😂😂🙌

Mimi nilitangaza mpaka kanisan lakin wapi!

Sema unapumzika tu
 
Habakuki 2:5 Naam, pamoja na hayo, divai ni mchumi mdanganyifu, mtu wa kiburi asiyekaa nyumbani mwake; huongeza tamaa yake kama kuzimu, naye huwa kama mauti, hawezi kushibishwa; bali hujikusanyia mataifa yote; hujiwekea kabila zote chungu chungu.
 
Umekurupuka mkuu

Subiri week ipite kwanza,Mimi nikiamkaga naumwa natapika nasema leo ndo mwisho
 
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
Huwezi kuacha
 
Back
Top Bottom